:::Preta & El-Toro:::

Hongera zikufikie, kimwali kumtwaa
Wambea msiwasikie, nyumba na mitaa
Karaha msizishike, msingenyo kukataa
Hongera zikufiee, kimwali kumtwaa...

Kwa mbali msikike, mkipeta na ku ng'aa
Pamoja mshikike, kwa dhiki na rahaa
Wawili muhangaike, kulea na kuzaa
Hongera zikufike, kimwali kumtwaa..

Kazi zisikuzidie, nyumbani ukakaa
Kwa wema umsikie, usiwe ka kichaa
Ndugu muhudhurie, mfikapo mkaa
hongera zikufikie, kimwali kumtwaa

Wana JF tunapaa, na la kheri tunawapa
Msiwe kama mkaa, kutumiwa na kuchakaa
Pamoja mnang'aa, na sifaa mwazitwaa
Hongeara zikufike, kimwali kumtwaa..
I dont have no information about this very new relationship!
Kwanza sitoi kibali, lakini pia nitahakikisha haitokei! kitu!
Kama ni hivyo bora tu aende Kericho, huh huh!
Wapi MwitaMaranya, Wapi Sahara Voice!...mnaona kitu kama hiki then mnachekelea badala ya kukemea?
Ngoja tuhsakikishe tunawa'derail!..ha h aha haaaa!

nilijua tu wale wapingamizi wa ndoa za watu hawatakosekana......ndio hawa sasa....

Huu ndo ushemeji wenyewe sasa lazima uwe mkali!!

Mzima lakini wewe? sasa mbona siku hizi huniletei kesi bana!

Hahahahaha lohhh
Mi mzima kabisa Kimey..
Ila umenichekesha maana
Kila tukikutana wataka KESI
Au matatizo tu hahahaha

Siku hizi na taarifa nzuri tu..

Vipi lakini ....
Mzima?

Hahahahaha lohhh
Mi mzima kabisa Kimey..
Ila umenichekesha maana
Kila tukikutana wataka KESI
Au matatizo tu hahahaha

Siku hizi na taarifa nzuri tu..

Vipi lakini ....
Mzima?
Si unajua sisi mawakili hatuishi bila ya kesi?
Hapo kwenye Taarifa nzuzuri hebu nipe details kidogo!!

Hahahaha haya
bana hiyo habari ni nzuri / mbaya
Tuiache tu kama ilivyo mpaka
Mahakamani...

nilijua tu wale wapingamizi wa ndoa za watu hawatakosekana......ndio hawa sasa....

Preta....hongera yako bidada!

halafu wewe na shosti nawategemea kwenye kitchen party mjue........

hahaha! Mi naomba nimfunde el toro. We baki na shosty. Vyombo nitampa aje navyo. Lol.

Back
Top Bottom