:::Preta & El-Toro:::

Congratulations!!! sikujua kabisa. Aisee... these are the love story that will inspire our love connect aspirants...

my dear......this is not a joke.......missed you though.....

wewe huna haja ya kupewa kadi.......njoo tu......

utakuja.....?

Dena....utapokea zawadi?

na wewe ukuje.....habari yako binafsi.......

Dah! imekula kwangu aisee! Whyy Preta? Kwanini lakini? au kwasababu sikukununulia jenereta kipindi cha mgao? naomba unilejeshee kinokia tochi changu nilichokuletea zawadi kipindi cha uchumba hewa wetu.

na wewe AD sitoquote post zako kwa muda wa wiki 2 , hii ni azabu yako ya kuanzisha hili sredi.

mkiona sijibu posts mjue nimezimia.

Hahahahahaha lohhhh
wewe

Kwanza umepote ka shilingi ya Nyerere..

Pili..

Hasira za nini weee kakaaaa
Watakaaa kuniua buree kakaa
Yule si wangu na mi si wakooo
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewee

Nasema sinaaaa makosaaa
Wataka kuniuaaaa bureee
Sinaaa makosaaa weee kaakaa..

Jemsi Dandu... :)

Nokia sirudishi......kwani uchumba hewa ulikuwa wa bure?....he he he.....imekula kwako

habari yake banaaa........chagua....adhabu zako unaanza kuzitumikia lini?.....siwezi kukukataza na wewe ukakaidi....no no no

Hahaha mi sikupata ujumbe kama ulinikataza!

Hongera zikufikie, kimwali kumtwaa
Wambea msiwasikie, nyumba na mitaa
Karaha msizishike, msingenyo kukataa
Hongera zikufiee, kimwali kumtwaa...

Kwa mbali msikike, mkipeta na ku ng'aa
Pamoja mshikike, kwa dhiki na rahaa
Wawili muhangaike, kulea na kuzaa
Hongera zikufike, kimwali kumtwaa..

Kazi zisikuzidie, nyumbani ukakaa
Kwa wema umsikie, usiwe ka kichaa
Ndugu muhudhurie, mfikapo mkaa
hongera zikufikie, kimwali kumtwaa

Wana JF tunapaa, na la kheri tunawapa
Msiwe kama mkaa, kutumiwa na kuchakaa
Pamoja mnang'aa, na sifaa mwazitwaa
Hongeara zikufike, kimwali kumtwaa..
Hapo nimepita taarifa za juujuu hizo, angalia PJ usiharibu starehe za watu. Members wengine wako wapi, kina Mzee wa Rula, Nanyaro,Sahara Voice vipi, imwekaaje hii kwenye mipango yetu ya JF, au ni vuvuzela tuu!!!!!!!!!!!! Kwa heri!!!!!!!!

Hahahahahaha lohhhh
wewe

Kwanza umepote ka shilingi ya Nyerere..

Pili..

Hasira za nini weee kakaaaa
Watakaaa kuniua buree kakaa
Yule si wangu na mi si wakooo
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewee

Nasema sinaaaa makosaaa
Wataka kuniuaaaa bureee
Sinaaa makosaaa weee kaakaa..

Jemsi Dandu... :)

Nimefulia dada! halaf jirani yangu ambae natumia laptop yake kuingilia JF kahama kitaa.

bek to ze topik: wewe imba imba tu, nina mpango wa kuroga kila aliehusika katika hii mission, kesho ukiona uso wako unauma kama husninyo basi ujue mzee mzima niko hewani.

Nokia sirudishi......kwani uchumba hewa ulikuwa wa bure?....he he he.....imekula kwako

hehehehe wewe chimba mkwala lakini ujue kwamba kesho El toro namgeuza bendera ya CCM, (msisitizo: faza wangu wa kambo anaishi sumbawanga) . adhawaizi lejesheni nokia yangu

Hongera zikufikie, kimwali kumtwaa
Wambea msiwasikie, nyumba na mitaa
Karaha msizishike, msingenyo kukataa
Hongera zikufiee, kimwali kumtwaa...

Kwa mbali msikike, mkipeta na ku ng'aa
Pamoja mshikike, kwa dhiki na rahaa
Wawili muhangaike, kulea na kuzaa
Hongera zikufike, kimwali kumtwaa..

Kazi zisikuzidie, nyumbani ukakaa
Kwa wema umsikie, usiwe ka kichaa
Ndugu muhudhurie, mfikapo mkaa
hongera zikufikie, kimwali kumtwaa

Wana JF tunapaa, na la kheri tunawapa
Msiwe kama mkaa, kutumiwa na kuchakaa
Pamoja mnang'aa, na sifaa mwazitwaa
Hongeara zikufike, kimwali kumtwaa..

Mwezi Mtukufu huu!! hapo kwenye red ni "Muthwa" kwa ajili ya kupika futari au jumla?? kwa wasiojua "Muthwa" Ustaathat FF can help!

Nimefulia dada! halaf jirani yangu ambae natumia laptop yake kuingilia JF kahama kitaa.

bek to ze topik: wewe imba imba tu, nina mpango wa kuroga kila aliehusika katika hii mission, kesho ukiona uso wako unauma kama husninyo basi ujue mzee mzima niko hewani.

hehehehe wewe chimba mkwala lakini ujue kwamba kesho El toro namgeuza bendera ya CCM, (msisitizo: faza wangu wa kambo anaishi sumbawanga) . adhawaizi lejesheni nokia yangu

Nimesha jua mmbaya wangu nani..

Mwezi Mtukufu huu!! hapo kwenye red ni "Muthwa" kwa ajili ya kupika futari au jumla?? kwa wasiojua "Muthwa" Ustaathat FF can help!

Asantee
Na hiyo ina tumika mwezi huu
Tu au na miezi mingine?
maana ake nini?
Asante..

Afrodenzi,
Unaonekana wewe ni mwenyekiti wa kamati ya harusi ya mke wa mtu! Wote mtawajibika!?

Hapo nimepita taarifa za juujuu hizo, angalia PJ usiharibu starehe za watu. Members wengine wako wapi, kina Mzee wa Rula, Nanyaro,Sahara Voice vipi, imwekaaje hii kwenye mipango yetu ya JF, au ni vuvuzela tuu!!!!!!!!!!!! Kwa heri!!!!!!!!

List refu hovyo...
Preta nakuachia maake..

Afrodenzi,

Unaonekana wewe ni mwenyekiti wa kamati ya harusi ya mke wa mtu! Wote mtawajibika!?

Mweeeehh
harusi bado bana kwa
Hiyo bado sio mmke wa mtu
ndo tunatayarisha..

Teh teh teh teh lolz :)

Back
Top Bottom