Pressure cooker Wakuu hii sio hatari?

Pressure cooker Wakuu hii sio hatari?

Ndio maji ya chumvi natumia mkuu ila mwanzo haikuwa ivi
Tumia maji yasiyo ya chumvi.Ila pia itakuwa ni presure cooker fake. nunua nyingine maana hapo utakuwa unakula kutu,kitu ambacho ni hatari
 
Back
Top Bottom