Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,982
- 119,497
Hiyo presha cooker umeuziwa kwa mkataba wenye masharti magumu, au! Na hiyo sufuria ya kubadilisha unaitoa wapi? Na kwa nini hutaki kufuata ushauri wa kununua presha cooker nyingine?Basi hii itakuwa fake nitumie njia gani Sasa wakuu? Au nibadilishe lile sufuria la ndani?