Pressure cooker Wakuu hii sio hatari?

Pressure cooker Wakuu hii sio hatari?

Mteja unamwambia Pressure Cooker 200k anakwambia Nikienda kariakoo mpk 100k napata...

Haya Mteja Shukran, PRESSURE COOKER ya 100k hiyo umeiona Mkuu.

Hapo bado kula vifuniko
Kanunua 60k kwa watu wanao uza vifaa used
 
Hapa ushauri niliopata natakiwa kwenda kwa watu ambao wanatengeneza sufuria na vipimo vyangu ili wanitengenezee sufuria jipya full stop
 
Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..

Nimeosha sana na Steel wire

Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Still wire hizo unazotumia. Ndo zinaleta weusi. Acha kutumia wire. Hakuna maajabu hapo
 
Kwhy hizi multicooker za 50K ni fake kumbe.

Dah hali sio hali
 
Nimenunua 100k mkuu
Mi yangu nilinunua laki2 na nusu, huu ni mwaka wa 4 sijaona tatizo lolote. Kanunua model hizi

1. Von

2. Nutri cook

Kama uko arusha nenda benson kama ukl dsm nenda kariakoo (wanajiita danish).
 
Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..

Nimeosha sana na Steel wire

Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Umeiharibu kwa kuoshea steelwire, umekwangua utando ulio juu ya bati na sasa bati lipo nje hivyo linasababisha kushika kutu. Usitumie steelwire kusugua ndani ya sufuria kwani pia hubakiza chembechembe za waya ambazo ni hatari kwa afya yako.
 
Hapo nifanye Nini mkuu Nina wazo wa kuliuza kabisa
 
Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..

Nimeosha sana na Steel wire

Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Ni hatari unakula kutu hapo.
 
Back
Top Bottom