Press conference ya ACT-Tanzania

Chagadema ishakufa mapema subiri matokeo kalenga muone na kule chalinze mshindi kashapatikana.
Uzuri wake hata nyie mnajua ukiacha CCM chama kingine ni Chadema tu ndio maana husikii Cuf sijui ACT au kakaye ADC maana hivi kiongozi wake ni mmoja.
 
Kweli kabisa kwasababu kimejumuisha wasaliti wote toka vyama vingine. Lakini kubwa kuliko yote Kiongozi wake anamiliki chama kingine ADC.

Hata Dr Slaa anayo kadi CCM na ameilipia hilo hulioni... au mkuki kwa nguruwe!
 
Last edited by a moderator:

siku zingine ushike adabu zako

na uache kabisa kuugusa gusa uislam na kuhusisha na mambo yenu ya siasa uchwara,ukiugusa tuh inakugharimu wewe na jamaa zako,hatujali wewe ni sisiem,wewe ni chadema,wewe ni cuf,wewe ni act au yyte yule,ukiugusa tuh ujue una case ya kujibu

nafuatilia nyendo zako hatua kwa hatua,nitakubaini tuh
 
Nimependa uchambuzi wako,short but clear.Kila mwenye akili ya kutambua anajua fika kuwa ACT imeanzishwa si kwa ajili ya kutoa upinzani kwa serikali bali kwa ajili ya kupunguza nguvu za upinzani hasahasa CHADEMA wakati wa uchaguzi mkuu,pia kumsaidia ZZK asikose chama cha kutumia kutimiza ndoto zake za kugombea uraisi wa Tanzania hapo 2015,Japo kuna uwezekano wa chama hicho kupata ufadhili wa chama tawala katika uchaguzi ujao,lakini impression ya jamii ni kuwa hicho ni chama cha wasaliti.Hiyo alama ya nyota pia ni tatizo,kwani aina tofauti na nyota ya mzee wa upako,ni nyota ya zionism,ukiwauliza Wapalestina watakuambia vizuri jinsi wanavyoteswa na nyota hiyo
 
waacheni watimize ndoto zao, mbona mnawafuatilia sana. chadema naona mnaanza kuweweseka sasa, hiyo siyo demokrasia ya kweli.
 

 
Kweli kabisa kwasababu kimejumuisha wasaliti wote toka vyama vingine. Lakini kubwa kuliko yote Kiongozi wake anamiliki chama kingine ADC.

dr slaa anamiliki kadi mbili za ccm na chadema
 
Chama cha wauza migebuka waha na waislamu yaani wao wameamua kujitosa na kuja na bendera ya dini ya kiislamu haya Alliance for Cowards and Traitors as some say you are in for it hivi nani atawaamini nyie kwa hao viongozi walioshika nafasi za juu sana kwenye vyama vyao vya mwanzo wakavisaliti leo ndio watangaza vyama wale tu hizo hela za Kikwete anaficha wizi wake ameiletea deni nchi trillion 30 na mtambo wa IPTL aliousaini na kuitia gharama nchi sasa utaendelea kula fedha za nchi badala ya kukabidhiwa rasmi akiondoka tu madarakani atakamatwa na kuswekwa ndani kwa kuliingizia taifa hasara kwa matumizi mabaya ya kiti chake kuanzisha vyama vingi vya kuvuruga demokrasia na kumaliza mali asiri za nchi
 
Watu wengi huwaga mnacomment vumbi tupu ooooh cdm imekufa , alaf ukiangalia uzi na alichocomment haviendani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…