fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,165
- 3,656
Asisahau kwenda kufuta viatu vya Ritz ili naye atwae hata kaukuu ka wilaya ka miez2
Mungu alishakataza ufisadi katika Ardhi. Iweje Mungu huyo huyo amteua fisadi kuwa Rais wa nchi?
Lowasa ni mwizi na ccm ni wezi.kuendelea kuifikiria ccm (mtambo wakuzalisha na kulea ufisadi)ni kuendelea kuisaliti nchi yetuNa huo ndiyo ukweli. Wew kama mimi, mie siyo CCM wala CDM au UKAWA at all. Ila napenda FACTS na kusimamia ukweli na weledi. Kiukweli pamoja na mapungufu ya EL, ila ni afadhali mara 100 kuliko yeyote yule wa CCM. Huo ndiyo ukweli. Itakuwa ni makosa makubwa kama hatutachagua mtu ambaye anatake action promptly, na kiukweli watu hao kwa haraka ni Dr Slaa au EL. Sipepesi macho katika hilo. Tunapaswa kuangalia hali ilivyo Tanzania, na tukikosea itatugharim sana tena sana. Mark my words. Hao wengine ni watu wazuri ila inapokuja suala la maamuzi nao wataishia kulia lia badala ya kuamua
Nyie ccm ni chama la wanafiki,kama mlijua ni mwizi na fisadi mbona hamjawahi kumshitaki wala kumwambia alete hati miliki za malizake zote na kumfanyia upekuzi kama mnavyotaka kumfanyia Gwajima? Ni muda wa kufa huu lazima mrushe miguu kabla ya kukata roho
Lowasa siyo msafi ila kuna watu wanamwogopa atakuja ku-revenge
Ndani ya ccm ajitokeze mtu aseme mimi ni msafi hata siku hawezi simama sema tunatumiwa vijana kutukana watu tu
Bwana Hoza sasa tumchague nani anayefaa mkuu?
Bila shaka hijui fomula ya Mungu kwa watawala .
Lowasa ni Kiongozi aliyejenga madhebahu ya Mungu ilyobomolewa na Nyerere.
Amini usiamini katika ulimwengu wa Roho Nyerere alikosea sana kutaifisha mali za makanisa na mali za waislam.
Alipaswa ajenge zake.
Mali ikishawekwa wakfu kwa Mungu haipaswi kuchukuliwa tena na mwanadam juwa liwake au lizime.
Nchi ikajawa na laana ya umaskini.
Mkapa akalitambua hilo akazirejesha baadhi kwenye madhebahu ya Mungu.
Lowasa amelitambua kama wakili wa fedha mwenye hekima .Anaambiwa anahonga pesa kwenye makanisa na misikiti .Hii ni laana wanayotaka kuiendeleza baadha ya watu dhaifu ndani ya Serikali.Tangu lini sadaka ikaitwa rushwa.Eti mtu anatoa sadaka wazi kabisa mbele ya kamera kwa ajili ya kujenga redio ya waislam au shule ya wananchi inayosimamiwa na kanisa halafua anaambiwa eti amehonga kanisa.
Leo Lowasa anasimama mbele za Mungu kurejeshea makanisa na misikiti mali zao zilizoporwa na mwalimu Nyerere.
Hivi unajua hata misaada aliyokua anatoa Gadafi kwa waislam na waafrika kwa ujumla ilikua inapigwa vita na baadhi ya viongozi dhaifu wa Afrika wenyewe na mataifa ya ulaya kwa njama za kutufanya tuendelee kuwa maskini na tegemezi kwao.
Mtu na akili zake anashabikia Mh.Lowasa kutukanwa na kudhalilishwa na watoto wadogo ambao hata utawala wa Mkapa walikua bado hawajaota meno.
Mtu anamtukana Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na usalama na mambo ya nje.Mtu aliyewahikuchaguliwa kuwa waziri mpaka kuwa waziri mkuu.
Kwa hili rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM achukue hatua au kemee kwa sababu hata yeye ametukanwa kwa kuwa akimchagua mtu asiyefaa kuwa hata kuwa balozi wa nyumba kumi(kama wanavyodai hawa wapiga kampeni wa mizimu iliyojificha mapangoni) kuwa waziri mkuu wa nchi.
Nape naye ajitokeze aunge mkono hoja hiyo kama ni hoja ya chama ya kumwita Lowasa Mwizi na fisadi.Kama sio hoja ya chama ajitokeze akemee huu utovu wa nidhamu kwa mbunge wa Monduli na kada aliyekijenga chama tangu ujana wake.
Jibu swali usiongee unyonge wa fikra zako; mmepeleka jela wangapi hadi leoUnataka kumpeleka Ikulu ndiko akachapie kazi yake ya ufisadi?! Nilifikiri sehemu stahiki ya fisadi yeyote ni jela!