Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
- Thread starter
- #61
Ab thanks a lot mkuu! Naona come back yako si ya kitoto kwa kweli. By the way tulikumiss sana kwenye hili eneo, we are more than happy kwamba you are back.
You are welcome mkuu. Unajua samtaim inabidi kuzama majukumu yanapokua mengi. Nilkua vekeshen kidogo na sehemu nipokua mtandao
ulikua ni mambo ya "Im not re-chebo"...:biggrin1:
Pamoja kwa sana!