President Obama's Trip to Ireland and England....

Naku-salute Ab-Titchaz!

Hizi picha zina mvuto asee. Michelle yu M-cute!
 
Hapa wanapata laga one for the road!!
 
Attachments

  • _52917108_1112222.jpg
    68 KB · Views: 19
Prince Wills and Cathy Duchess of Cambridge with Obama's
 
Attachments

  • _52936012_5555.jpg
    113.7 KB · Views: 21
kwa kweli mama Obama anajua kuvaa vizuri mno hakuna first lady anaejua kupangilia nguo kama mama Obama na wengine waone mwenzao afanyavyo sio kukurupuka tu na mavitenge ya kariakoo
 
Huyu mama haangalii hata protoco ya wapi alipo bana...yeye anaendeleza penzi kwa mzee tu!
Ingekuwa wake zetu wa kibongo wako hivi, kambi ya Infidelities ingekosa ada za wanachama wake na hatimaye kufa kifo cha kawaida!
 
kwa kweli mama Obama anajua kuvaa vizuri mno hakuna first lady anaejua kupangilia nguo kama mama Obama na wengine waone mwenzao afanyavyo sio kukurupuka tu na mavitenge ya kariakoo

Ndugu;tatizo siyo kupangilia nguo kama mama Obama.Mama Obama ana mwili na shepu ya kupangilia hizo nguo.Wengine wakivaa kama yeye,inaweza kuwa kituko.Ni bora kuvaa kulingana na maumbile yako kuliko kuigaiga,halafu ukachekesha 'wazungu'!!
 
OBAMA DUNIAA!!!!!!!!!!!!!!! UNAKUBALIKA MKUU, WATAKE WASITAKE UKO JUU TU, AFRIKO UPO, ULAYA UPO NA MAREKANI NDO KWENYEWE, BIG UP.
AHSANTE AB, NILIKUWA NATAMANI KUONA HII ZIARA KATIKA PICHA.
 
Hii familia bado ina mvuto na nguvu sana!...Bila kupindisha, hawa watu wanapendana sana!..Si upendo wa kufoji!

Aaahaa hahaa ahaaaha JK na mkewe wana upendo wa kufoji, hata BWM naye alikuwa na upendo wa kufoji na mkewe Anna.
 
Hicho kikoti kinaitwa kibajaji
 
Mkuu Chamoto,

alimaindi lakini nd'o hivyo tena...ilibidi akubali tu maana yote ni kwa roho safi...:biggrin1:

Heheheheee....naona mai waifu wako ilibidi akubali matokeo tu, maana unakula kwa macho.:biggrin1:
 
Halafu kamanda alichapia hapo, aliandika mwaka 2008. Pundits washaanza kuhangaika kucrack code kwa nini ameandika mwaka huo. Yale yale ya Osama ya ku-Authorize deal then akaenda kupiga mtaa Mississippi.
 
Huyu mama haangalii hata protoco ya wapi alipo bana...yeye anaendeleza penzi kwa mzee tu!
Ingekuwa wake zetu wa kibongo wako hivi, kambi ya Infidelities ingekosa ada za wanachama wake na hatimaye kufa kifo cha kawaida!
Halafu kamanda alichapia hapo, aliandika mwaka 2008. Pundits washaanza kuhangaika kucrack code kwa nini ameandika mwaka huo. Yale yale ya Osama ya ku-Authorize deal then akaenda kupiga mtaa Mississippi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…