Niwe ni issue na enzi za mwalimu hiyo issue niitoe wapi ndugu yangu? Nimeweka enzi za mwalimu purposely sio kumlenga yeye bali kuelezea hali ya zama hizo ambazo Watanzania ni kweli tuliamini chema chajiuza... enzi ambazo ni kweli tu akiona kitu kinatangazwa sana, lazima atakuwa na mashaka nacho... lakini leo hii hata the best product in the market, bado nayo inatangazwa coz' they know there's rivals and competitors outta there!
Kuhusu hayo mambo ya DMV... aaaaaargh, sina hata la kusema manake hizi purely political issues wala hazipata kuwa topics of my interests!!! Naonaga sana humu jamvini topics kuhusu CCM/CHADEMA/DMV/ n.k, ni mara chache sana utakuta nachangia... majority hata kufungua sifunguagi!!
Kwamba ame-fail. Sina hakika kama ame-fail au hapana lakini kufli huko katu hakuwezi kupimwa kutokana na safari yake ya CNN. Mkuu Janjaweed... kuna siku nilibahatika kwenda kijijini... tena ni kijiji mji! Nilishituka kuona kijiji kilivyozizima kisa eti anakuja Mkuu wa Wilaya! Umeshawahi kupata bahati hiyo? Kama bado, tafuta siku usikie DC fulani anaenda kijiji fulani ukaone watu wanavyohangaika kisa DC anakuja!!!!!
Dar es salaam ambapo wengi wetu tunapafahamu... nani anashituka hata anapopita Waziri? Najua hamtakubali ukweli huu lakini huo ndio ukweli kwamba mawaziri wetu ndani ya mataifa makubwa worth nothing! Don't expect kwamba watu wataacha shughuli zao wakamsikilize eti Waziri Maghembe au Kawambwa au hata Membe! Kwa kuonesha respect ya unafiki, sana sana watatuma mwakilishi from middle to low rank! Na hata akirudi huyo represenative no one will care even to ask nini kimezungumzwa kwenye kikao husika!
Narudia... hata kwenye maofisi yetu hapa mjini... kuna deal issues ambazo zinakuwa attended na sales guys from sales department lakini panapotokea serious deal from serious partner, hadi DG, CEO, MD (or whatever s/he may be called) nae atakuwamo kwenye msafara!
Mkuu NasDaz shukrani sana kwa kusaidia kuweka mambo sawa. Umetumia nguvu nyingi sana kuwaelewesha na ni matumaini yangu wamekuelewa sana (japo kimaandishi wana-Act kwamba hawajakuelewa ila kimoyo-moyo watakuwa wamekuelewa).
Wengi wa wasomaji hapa kwenye hili Jukwaa ni wale wanaopita na kusoma kimya kimya. Wamesoma/watasoma na kukuelewa. Hawa wenye default settings za kupinga kila kitu ni walewale wa kila siku na nia na madhumuni yao ya kidhalimu yanajulikana.
Ahsante sana mkuu.
Niwe ni issue na enzi za mwalimu hiyo issue niitoe wapi ndugu yangu? Nimeweka enzi za mwalimu purposely sio kumlenga yeye bali kuelezea hali ya zama hizo ambazo Watanzania ni kweli tuliamini chema chajiuza... enzi ambazo ni kweli tu akiona kitu kinatangazwa sana, lazima atakuwa na mashaka nacho... lakini leo hii hata the best product in the market, bado nayo inatangazwa coz' they know there's rivals and competitors outta there!
Kuhusu hayo mambo ya DMV... aaaaaargh, sina hata la kusema manake hizi purely political issues wala hazipata kuwa topics of my interests!!! Naonaga sana humu jamvini topics kuhusu CCM/CHADEMA/DMV/ n.k, ni mara chache sana utakuta nachangia... majority hata kufungua sifunguagi!!
Kwamba ame-fail. Sina hakika kama ame-fail au hapana lakini kufli huko katu hakuwezi kupimwa kutokana na safari yake ya CNN. Mkuu Janjaweed... kuna siku nilibahatika kwenda kijijini... tena ni kijiji mji! Nilishituka kuona kijiji kilivyozizima kisa eti anakuja Mkuu wa Wilaya! Umeshawahi kupata bahati hiyo? Kama bado, tafuta siku usikie DC fulani anaenda kijiji fulani ukaone watu wanavyohangaika kisa DC anakuja!!!!!
Dar es salaam ambapo wengi wetu tunapafahamu... nani anashituka hata anapopita Waziri? Najua hamtakubali ukweli huu lakini huo ndio ukweli kwamba mawaziri wetu ndani ya mataifa makubwa worth nothing! Don't expect kwamba watu wataacha shughuli zao wakamsikilize eti Waziri Maghembe au Kawambwa au hata Membe! Kwa kuonesha respect ya unafiki, sana sana watatuma mwakilishi from middle to low rank! Na hata akirudi huyo represenative no one will care even to ask nini kimezungumzwa kwenye kikao husika!
Narudia... hata kwenye maofisi yetu hapa mjini... kuna deal issues ambazo zinakuwa attended na sales guys from sales department lakini panapotokea serious deal from serious partner, hadi DG, CEO, MD (or whatever s/he may be called) nae atakuwamo kwenye msafara!
Haya wale wapinga ushoga na mashoga mko wapi?
Hamjui kuwa Richard Quest ni shoga, tena yule asiyejificha...?
Mbona sasa hamumshikii bango raisi wenu kumtembelea shoga ofisini kwake na kupiga naye picha..?
Wanafiki wakubwa nyie watu!
Cc: EMT
Kwani JK hizo safari anaendaga peke yake? Nimetoa mfano wa taasisi za biashara... kwamba kunapokuwa na serious deals, si ajabu kuona DG anaenda... lakini uendaji wake haumaanishi kwamba department heads wanakuwa excluded... anachofanya DG ni kutoa back up! Na ndio maana JK safari zote anazosafiri, hafuatani na akina Kinana au Nape Mnauye... anaenda na mawaziri pamoja na watendaji wa Idara na taasisi ambazo zipo kwenye agenda. Au mlitaka muwekewe hadi clips za mkutano wa mtendaji na waziri fulani??Kuna nchi wana msubiri sana Waziri Muhongo hadi leo hii na wasingelitaka sana kuongea na Rais.
Wanamsubiri hata Balozi wetu aende kuonge nao kwa zaidi ya mwaka sasa.
Kuna sehemu mama wa TIC Juliet angelifaa zaidi kuzidi Waziri fulani......
Hivyo kusema Mawaziri wakiwa nje si mali kitu, unapishana na ukweli.
Pia inapokuja kwenye kuwekeza, si lazima iwe nchi zilizoendelea sana. Zinaweza kuwa nchi katikati zenye utajili wa kawaida na high know how kwenye technology. Hizo zipo nyingi Ulaya na viwanda na mashine zao zinakufa tu kutokana na ushindani wa Asian Countries. Mfano nchi kama Czech na magai yao ya Skoda yanayotumia Gas.....
Å-KODA UK - Å-KODA
TEST: Å-koda Citigo CNG | Hybrid.cz
Mkuu Sikonge,Hapa wote tunaeleweshana maama hakuna anayeelewa yote. Tukichnganya yote ndiyo tunapata mema.
Utakuwa unafanya makosa kutokusoma wanaopinga maana nao wana pionts kadhaa wanaweka.
Nasdaz ana points nzuri sana ila hata yeye nina uhakika sana kuwa anakubali hizo safari pamoja na umuhimu wake, zimekuwa nyingi sana. Gharama za kumsafirisha Rais zipo juu sana kwa nchi kama Tanzania.
Pia hata Waziri tu akienda nje na mkafanya lobbying mapema, basi safari yake inaweza kuwa na nguvu mno.
Hapa kuna umuhimu wa kumtumia Balozi na Diaspora ya Watnzania au Waafrica maana wao huko ni wenyeji.
Tatizo letu ni kutokuheshimu Diaspora wetu huko nje na kuwaita wavaa Jezi na Mikufu tu - kosa kubwa.
Kwani JK hizo safari anaendaga peke yake? Nimetoa mfano wa taasisi za biashara... kwamba kunapokuwa na serious deals, si ajabu kuona DG anaenda... lakini uendaji wake haumaanishi kwamba department heads wanakuwa excluded... anachofanya DG ni kutoa back up! Na ndio maana JK safari zote anazosafiri, hafuatani na akina Kinana au Nape Mnauye... anaenda na mawaziri pamoja na watendaji wa Idara na taasisi ambazo zipo kwenye agenda. Au mlitaka muwekewe hadi clips za mkutano wa mtendaji na waziri fulani??
But in other way round... hivi hamuoni hata nyie wenyewe mnatoa attention kubwa kwenye safari na ama vikao vya JK?? Ni viongozi wangapi wanatembelea nje ya nchi na mikoani kwa shughuli za kiserikali and majority even within the country (TZ) wala hawana time ya kufuatilia nini kimeendelea? Hivi hufahamu kwamba mnafanya kile kile ninachokisema but in other way round?
Sasa hapo somo nini kila siku anatembelea umuhimu uonekane kwa maisha ya watanzania kubadilika sio kila siku iwe afadhali ya jana.Safi saana.
Ni somo tosha kwa wasiojua umuhimu wa ziara za JK nje ya nchi.
No... you're missing something! Vile vikao wala haitarajiwi kutoa positive effect hapo hapo... lengo ni kujenga awareness! No one intend kwamba eti baada ya kikao husika ndipo watu waanze kuomba karabrasha za ku-sign contracts na mambo mengine kama hayo! Baada ya hapo, kama ulivyosema ndipo wanatokea watu wa kutaka kuonana hata na JK mwenyewe in private... and in fact, hiki ndicho kinatokea. Ingawaje hatutaki kukubali ukweli lakini the one at the main table/chief speaker ndie atakayetoa mwelekeo wa nani atahudhuria!Tuwe wa kweli, vikao hivyo vya Rais akiwa nje,vinazaa kidogo sana.
Muda huwa mdogo na matokeo yake wanagusia gusia tu. Kila muwekezaji wa maana hawezi kuja kwenye vikao hivyo na kama kweli anataka kuwekeza,atamfuata Rais nyumbani kwake na huko ataongea akiwa na Waziri mhusika. Hivi mwenye vikao hivyo utategemea Iza Bosch aje akae asikilize na avutiwe na mwisho aje na kiwanda chake cha Bosch?
Hata kama dunia nzima wangelitangaza hiyo ziara, bado haitakuwa na mtokeo yoyote. Marais kwa kawaida wanakwenda kuweka sahihimambo ambayo yameshakubaliwa tayari na si kubembeleza wawekezaji au kutafuta masoko au kutangaza biashara. Ni heri alipokwenda kuangalia mechi ya Arsenal, walau tunajua kuwa alikuwa likizo ambayo ni haki yake.
Kama nilivyoandika baadaye, una point nyingi na nzuri na nakubaliana na wewe kwa mengi na ninafahamau umuhimu wa safari za Rais yeyote nje ya nchi. Ila huoni kidogo zimekuwa nyingi? Mie naongelea wingi wa safari...
Kwa mfano CNN, ili watangaze nchi, sio lazima Rais aje awaombe, wao wanataka fedha tu, basi. Sasa hiyo siku nzima tumelisha msafara mzimanuko USA, bei yake waijua kwa siku? Muhongo pekee hataki kusafiri kwenhe Economical class na mie simshangaikwa hadhi yake maana anaweza mwenyewe kujinunulia ticket. Sasa msafara mzima Emirates anatajirika tu.
No... you're missing something! Vile vikao wala haitarajiwi kutoa positive effect hapo hapo... lengo ni kujenga awareness! No one intend kwamba eti baada ya kikao husika ndipo watu waanze kuomba karabrasha za ku-sign contracts na mambo mengine kama hayo! Baada ya hapo, kama ulivyosema ndipo wanatokea watu wa kutaka kuonana hata na JK mwenyewe in private... and in fact, hiki ndicho kinatokea. Ingawaje hatutaki kukubali ukweli lakini the one at the main table/chief speaker ndie atakayetoa mwelekeo wa nani atahudhuria!
Haya wale wapinga ushoga na mashoga mko wapi?
Hamjui kuwa Richard Quest ni shoga, tena yule asiyejificha...?
Mbona sasa hamumshikii bango raisi wenu kumtembelea shoga ofisini kwake na kupiga naye picha..?
Wanafiki wakubwa nyie watu!
Cc: EMT
Let me tell you something! Kwanza tuanze na hilo la kwamba busy executives hawawezi kuhudhuria! Hili ni jambo la kawaida lakini issue ya kuangalia ni aina ya delegation atakayoitoa huyo busy executive. Ndio maana kuna post nikasema, kuna baadhi ya watu wakienda kutuwakilisha kule, usishangae huyo busy executive akamtuma low rank employee na wala aiulize feedback! Lakini kunapokuwa na mtu ambae ni worth to listen, basi huyo busy executive hata asipoenda yeye bado anaweza kumtuma mtu serious na bado akaulizia feedback coz' the guy around the table was worth to listen. Na ndio maana kwenye mada hii, tunaona Executive Vice President wa CNN/US ndie anaongea na JK otherwise hao akina TIC guys wangeishia kwenye ofisi za marketing, PERIOD!Nilishawahi kupata habari za tajiri mmoja mkubwa Ulaya mwenye viwanda vya vyuma na wakaniambia huwa hasomi barua yoyote zaidi ya mistari mitano ya mwanzo - Hana muda.
Sasa kama wewe unasema hapo kwenye kikao ni kutoa mwanga tu, unafikiri huo muda anao kweli?
Matajiri wengi, wana vikampuni vyao kivuli vya kuwawakilisha. Ukivijua hivi na ukawaita uongee nao hata kama utawalipia na nauli pamoja na hotel, utapata zaidi wawekezaji kuliko ukija wewe mwenyewe.
Wanaokwenda kumuona baada ya vikao, wengini matapeli, na huo nina uhakika. Wawekezaji wa maana niamini hapa huwa hawaji kufanya show off. Muda hawana kabisa na kujianika huwa hawataki kabisa.
Kuna Rais fulani alionana na balozi wa nchi nyingine na watu wakapata habari kuwa Rais huyo alivuta 10% kwa ajili ya familia yake. Sasa kwa balozi, haina shida ila kwa matajiri wengi, moto ungeliwaka kwao. Sanasana inakuwa hivyo kwamba Rais wa Nigeria akiwa Czech, ataonana na balozi wa German na apewe hizo asilimia 10. Tunarudi palepale kuwa wanaomuona Rais akiwa nje, wengi ni Matapeli na watoa hongo na hii si Tanzania tu.
Wawekezaji wa maana wataonwa na balozi au Watanzania waishio huko. Hao wakija mfikisha kwa Rais ni kuweka sahihi tu na hii ni kuwa atakuja mwenyewe Tanzania na siyo tumfuate. Huyo anayesubiri Rais wetu amfuate ni kuwa hana shida na mara nyingi ni Mwizi au Tapeli.
Hahahaa, Mami.....
Unapiga za chini ya mkanda sasa. Ukweli una ng'ata ati.......
By the way, haka ka Mayu hapo kana hips balaa....
Siku zote atabaki kuwa ndie mwanzilishi wa CNN!
Hata kama hatutaki, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba tunahitaji PR ya nguvu kuitangaza hii nchi! Unapojenga awareness na business executives ni njia moja wapo ya kujenga awareness about the country as the whole!