Pres. Mugabe falls down steps, photographers forced to delete images

Pres. Mugabe falls down steps, photographers forced to delete images

Ni aibu kwa viongozi wa Africa kung'ang'ania madaraka, ni hivi punde tu Rais wa Zimbabwe ameanguka ktk ngazi za jukwaa akiwa anashuka, amekuwa akiiongoza nchi ya Zimbambwe tangu 1980 hadi sasa, Reported by Aljazeera

wewe magita kuteleza na kuanguka sio uzee ni ajali hata wewe unaweza kuteleza saizi itakuwa ni uzee? ktk viongozi waliobaki afrika wenye msimamo ni komredi MUGABE tu.wengine wote waliobaki wananunulika kwa wazungu
 
hivi malkia wa Uwingereza ni kijana? mbona hamsemi kakaa muda mrefu huyo malkia? hivi huyo malkia akianguka mtapiga picha na kizisambaza? huu ni utovu wa nidhamu mkubwa saaana tu kwa aliyepost hizo picha, wenye maamuzi na nchi ya Zimbabwe ni Mugbe na Wazimbabwe tuu.
 

| 05 February, 2015 09:56


[video=youtube_share;DwEZeNOC-Ps]http://youtu.be/DwEZeNOC-Ps[/video]



[h=3]Zimbabwe's President Robert Mugabe, 90, falls down a staircase after addressing supporters at Harare International Airport yesterday. He was quickly helped up by aides and escorted to his limousine. Some photographers said security personnel forced them to delete their pictures of the fall.[/h]


 
Acha propaganda za kimagharibi. Mbona Malkia Elizabeth amegagana madarakanni?
 
Duuh.. Huyu mzee amechoka jamani.. Ukiangalia hata huo mwendo wake wakati anashuka hizo ngazi unaonesha miguu imepoteza nguvu..
 
Tuwekee na ile Video Clip ya Munisi, najua unayo inayosema
  1. Kataa CCM
  2. Usiibiwe tena
  3. Usionewe tena
  4. Kura yako uhai wako
  5. Kura ni silaha usiuze
 
I think he missed a step, na sio kuanguka kwa kunyong'onyea...yeyote angeweza kuanguka jamani.

Ila kuna mtu kajishika na mikono kabisa, hata kujigusa kutoa msaada?!
 
HUYU BABU ATAKUWA KAMA MBOWE KUNG'ATUKA HATAKI.dah
 
[video=youtube_share;nDqO7YLl1M8]http://youtu.be/nDqO7YLl1M8[/video]
 
Asante kwa kuleta hii hoja. Mkuu kwa wengine siye-hapo kuna sabotage dhidi ya Usalama wa Raisi.Chunguza hizo picha vizuri utaona kulikuwa na dhihaki kubwa kwa Raisi Mugambe toka kwa wanausalama na baadhi ya Maofisa wa Ikulu. Alipofikisha magoti chini eti ndiyo wanajifanya kumsaidia-natumai raisi atakuwana na back up ya washauri kuipitia movi hiyo na kumshauri kuchukua hatua ya kinidhamu na kiusalama.

Kuangua hakupo kimnato kama wewe unavyoziona hizi picha . . . Hamna aliye anticipate kama angeanguka pale ..
 
Yaani hii inaonekana habari kuuubwa - ni kwa sababu tu ni Mugabe au kwa kuwa ana miaka 90? Mbona wa kwetu keshaanguka at least mara mbili? Mkapa nae aliwahi kuanguka bafuni mpaka kuwekewa hogo kwenye mguu
 
Robert King anganizi Mugabe insist that he didn't fall!....from global post.
 

Attachments

  • B9FwBQXIMAAIOrO.jpeg
    B9FwBQXIMAAIOrO.jpeg
    31.5 KB · Views: 167
  • screen_shot_2015-02-05_at_2.03.12_pm.png
    screen_shot_2015-02-05_at_2.03.12_pm.png
    49.2 KB · Views: 161
  • B9GFXXUCMAAO4kC.jpeg
    B9GFXXUCMAAO4kC.jpeg
    28.7 KB · Views: 169
  • B9FLE78CcAASf7e.jpeg
    B9FLE78CcAASf7e.jpeg
    11 KB · Views: 169
Aliigiza tu ili kuwapima wasaidiz wake kama wanamjari
 
Back
Top Bottom