Pres. Mugabe falls down steps, photographers forced to delete images

Pres. Mugabe falls down steps, photographers forced to delete images

Bush Jr alitapika kwenye dhifa ya kitaifa south korea
 
kwa kutizama picha hizi naona kuna uzembe wa wazi toka kwa walinzi wake mheshimiwa mgabe......tena uzembe mkubwa sana
 

Hivi tunajifunza nini juu ya Kuanguka kwa watawala wetu wakati wakihutubia Wananchi??
Mgabe.jpg
Rais Mugabe naye ameanguka baada ya kuhutubia!





jk.JPG

Rais Kikwete alianguka wakati anakemea Rushwa!
RAIS KIKWETE AANGUKA JUKWAANI JANGWANI Walinda usalama wakiwa wamembeba Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amebebwa na usalama wa Taifa baada ya kuanguka ghafla wakati alipokuwa akihutubia umati wa wanachama cha CCM waliohudhuria katika Uzinduzi wa kampeni za chama hicho kwa ajiri ya kampeni za uchaguzi wa Urais, Wabunge , Madiwani utakaofanyika mwezi Oktoba 31 mwaka huu. Akina mama wakilia kwa uchungu baada ya Mgombea wao wa urais kupitia chama cha mapinduzi CCM. Rais Jakaya Kikwete baada ya Kuanguka ghafla wakati akihutububia wafuasi wa chama hicho jangwani. Kikwete akiwapungia mkono wana ccm baada ya kurejea tena katika jukwaa baada ya kupewa matibvabu hata hivyo amelazimika kufungua swaumu yake. Pwani Raha.com imeeleza kuwa sehemu ya viwanja vya Jangwani inaweza kuwa na historia mbaya kwa Jakaya Kikwete kwani mwaka 2005 alianguka katika mazingira kama hayo wakati akitoa hutuba ya kufunga kwa kampeni upande wa chama chake cha CCM.


akina mama wanamulilia jk.JPG
Akina mama Wana lia baada ya JK Kunaguka Jangwani.



Copy and WIN : Trade the global markets
 
Back
Top Bottom