mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
sIYO KWA DHARAU MKUU. HAO NI MA PROFESSIONAL. THEY KNOW WHAT THEY DO.
basi walicheka ki professional mkuu
sIYO KWA DHARAU MKUU. HAO NI MA PROFESSIONAL. THEY KNOW WHAT THEY DO.
huyu wa kwetu alianguka bila hata kuguswa...
babu huyu ni mbishi balaa
atafia stejini siku moja
Hawa jamaa wanaovaaga miwani yao myeusi , suti za kisasa , na kunyoa minyoo ya kiusalama eti wakilinda viongozi wakubwa wa nchi kama Rais wa nchi ,ukiwaangalia kwa umakini unaweza dhani ni watu makini who are "thinking out of the box", hatari na "pro-active" lakini kumbe ni bure kabisa. Tena wanajifanyaga wan ning'inia hadi kwenye milango ya gari la mkulu wa kaya, kumbe wana mbwela mbwela.
Hebu shuhudia jinsi walivyoshindwa ku rescue Rais Robert Mugabe Mugabe akianguka chini kutoka kwenye ngazi ....
Je, kiusalama matharani lingekuwa ni shambulizi la kutaka kumuua rais unadhani wangekuwa msaada wowote kwa mkulu wa kaya Mugabe...? Kuanzia leo nimewatoa nyota zote hawa jamaa....tena kama hawa wa kwetu na vitambi vyao kumbe mikwara tu na ni wazito kama magunia ya viazi vya njombe.
Babu mbishi kama huyu unaweza ukaambulia makofi kwa kumdaka,.Hata wenyewe wamemshiba mbona wanaangalia tu, hata hawamdaki!
Mzee kweli amechoka, hata mzee wetu EL tukijuza atakuwa kama huyo EM kwa sababu umri alionao ni wa kumalizia urais siyo wa kuanza urais
Mkuu kama kweli unajua mtu mwenye umri mkubwa almost miaka 91 kuwa imara kama alivyo mkuu R. Mugabe hakika huwezi kusema kuwa kachoka, hebu vuta hisia kama za kina mzee wetu mzee Ruksa na Mugabe , bado wako imara na ngangali kabisa, sipati picha mkulu wa kaya na EL wakifika umri huo wa kina mugabe afya yake itakuwaje,Mzee kweli amechoka, hata mzee wetu EL tukijuza atakuwa kama huyo EM kwa sababu umri alionao ni wa kumalizia urais siyo wa kuanza urais
Yaani hapo ingekuwa nchi kama Mrekani ungeshasikia mkuu wa kikos cha usalama wa kumlinda Rais amejiuzuru kwa kushindwa kutimiza majukumu yake, lakini ki Afrika Afrika watachukukulia poa tu na maisha kusonga mbele kama kawa.Asante kwa kuleta hii hoja. Mkuu kwa wengine siye-hapo kuna sabotage dhidi ya Usalama wa Raisi.Chunguza hizo picha vizuri utaona kulikuwa na dhihaki kubwa kwa Raisi Mugambe toka kwa wanausalama na baadhi ya Maofisa wa Ikulu. Alipofikisha magoti chini eti ndiyo wanajifanya kumsaidia-natumai raisi atakuwana na back up ya washauri kuipitia movi hiyo na kumshauri kuchukua hatua ya kinidhamu na kiusalama.
kweli kabisa mkuu ...wanalipwa pesa nyingi kumbe hamna kitu, yaani hao Per D.M yao ilibidi wasipewe kabisa kwa kuleta uzembe na uzururaji kazini.kwa jinsi inavyoonekana kama kuna protocal ya kutomgusa vile, mzee anahangaika wao wanamwangalia tu? kama iyo protocol hamna wale hawawez kazi na imewashinda ila hapa kwetu kwa siku izi ccm imewaharib wazee wa kazi wanawaza kuvuta mkwanja tu na kupambana na chadema hayo ndio kaz wanayofanya mana kikwete alishaanguka kukwaa je uliona mtu aliyejitolea mwili wake asianguke chini badala yake aanguke juu yake? imeshatokea mkuu hapa kwetu.
kwa jinsi inavyoonekana kama kuna protocal ya kutomgusa vile, mzee anahangaika wao wanamwangalia tu? kama iyo protocol hamna wale hawawez kazi na imewashinda ila hapa kwetu kwa siku izi ccm imewaharib wazee wa kazi wanawaza kuvuta mkwanja tu na kupambana na chadema hayo ndio kaz wanayofanya mana kikwete alishaanguka kukwaa je uliona mtu aliyejitolea mwili wake asianguke chini badala yake aanguke juu yake? imeshatokea mkuu hapa kwetu.