Premium rate sms service msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Premium rate sms service msaada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by simplemind, Sep 1, 2011.

 1. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Kwa wale wazoefu / experienced naomba msaada jinsi ya kuanzisha premium rate sms service mfano ringtone download au astrology. Assume tayari ni shadevelop software ya kurecieve/parse/kusend sms data, Hasa nahitaji kujua gharama za provider(kampuni ya simu) na taratibu za malipo yaliyo kusanywa. Nawasilisha.
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa cha kufanya unahitaji providers wa SMS short code (bongo walikuwepo jamaa wanaitwa push ila sifahamu uzuri wao) hawa jamaa watakupa namba mfano 51223; hii namba ukitaka iwe ya peke yako inakuwa dedicated short code ambayo inacost zaidi ila mara nyingi unaweza ukashare namba na kampuni nyingine lakini wewe wanakupika keyword mfano neno mziki kwahiyo mtu akituma mziki kwenda kwenye hii namba inamaanisha inakuja kwako.

  Kuhusu malipo ni kwamba hawa jamaa ni middle man baina ya wateja na providers wa simu hivyo basi mnaweza mkapanga kwamba kila mteja akinunua mziki mfano kwa tshs 500/= wewe unapata 25% na hawa jamaa wanachukua profit yao wanawapa wenye simu cha kwao na TCRA wanawapa cha kwao kwahiyo wewe unakuwa hutoi upfront cash ila watu wakinunua wewe ndio unapata percent ya faida yako (mara nyingi kwa hii deal mara nyingi wanakupa minimum ya watu kupiga hiii namba mfano wanaweza wakasema kuwe na atleast watu 3,000 kwa mwezi..

  Pia unaweza ukanunua Bundle kubwa upfront na ukatumia (ila all in all its all about bargain) na watu wa kuwafata sio mobile phone service providers bali ni sms short code providers

  Bongo am sure wapo lakini cheki hawa jamaa wapo India uone kama wanaweza kukupa hii service kwa bongo au soma humo ndani for further knowledge huenda na wewe ukawa sms short code provider kwa kununua bundle kwa hawa jamaa na ku-resell bongo

  Short SMS Code SMS Short Code World SMS Short Code - Bulk SMS World Services world
   
 3. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />


  Thanks.
   
Loading...