Premium Membership

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,832
287,782
Ni kigezo gani kinachotumika katika kuamua kwamba mwanachama amefikia status ya kuwa premium member?
 
changia kiasi chochote cha fedha kuiendesha JF au mchango wowote ambao utaisaidia JF kudumu na kuwepo. Wasiliana na invisible kwa ajili ya mchango wako.

Mbona mimi nilichangia kiasi fulani cha fedha miezi michache iliyopita lakini sijapata hiyo premium membership???
 
changia kiasi chochote cha fedha kuiendesha JF au mchango wowote ambao utaisaidia JF kudumu na kuwepo. Wasiliana na invisible kwa ajili ya mchango wako.

Ahsante sana mwanakijiji, Invisible niandikie kupitia PM ili nijue taratibu za kutuma pesa ili kuhakikisha JF inazidi kuimarika.
 
Ahsante sana mwanakijiji, Invisible niandikie kupitia PM ili nijue taratibu za kutuma pesa ili kuhakikisha JF inazidi kuimarika.

Click hapo juu kabisa ya ukurasa huu palipoandikwa "Support Jamboforums.com" na utaelekezwa namna ya kuchangia.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom