eucalyptos
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 391
- 140
Usiwake tu........hiyo ni sababu ya kauli FREE SEATING..........Sasa hapo kila mtu anawahi siti ya dirishani
WAKATI FULANI MARA KADHAA NDUGU ZANGU WALIRUDISHWA / WALIAHIRISHIWA SAFARI mlangoni KWAKUWA NDEGE HII IMEJAA. Swali je ndege inajaa wakati wa kupanda au wakati wa booking?
Ni kweli kuwa TCIA and other concerned authorities hawafanyi kazi yao sawia.
Ha ha ha ha ha!Usiwake tu........hiyo ni sababu ya kauli FREE SEATING..........Sasa hapo kila mtu anawahi siti ya dirishani
Mbona hueleweki? unakataa nini na unakubali nini? kabla sijakujibu hebu fuatilia michango yangu toka mwanzo. Jamani someni mada na michango ya wengine ili muelewe yupi anaunga mkono hoja na yupi anapinga.
Precision Air hakuna free seating wewe kila mtu anakaa seat yake.
Hebu fuatilia malumbano yangu na mheshimiwa Safani ni Safari ndiyo utaelewa. Ndiyo maana nimekuuliza aliyekuwa anaunga mkono kuwa free seating ipo ni nani kati yetu wawili, usikurupuke tu elewa kwanza mahojiano unaweza kujikuta unampinga mwenzio wa kambi moja.Mkuu hujanielewa wapi au hutaki tu kuelewa, ni wewe uliyesema maneno haya
sasa maelezo niliyotoa ni kuhusu hiyo "Free seating", au hujaelewa nini?!!!
umetumwa na shirika gani? Usidanganye umma, ninaitumia sana precision air, kinachotokea hapo ni kwamba abiria wanachukuliwa na mabasi maalumu ya kampuni toka sehemu ya kupumzikia kwenda pale ndege ilipopaki, sasa kwa mfumo huo ni lazima mtafika wengi kwa wakati mmoja kwenye ngazi hivyo kulazimika kuingia kwa foleni. Sasa hapo kuna ubaya gani?
Bila shaka umetumwa na wale waliopasukiwa kioo cha mbele kule kigoma.
Tatizo ni uzito. Captain ana optimal weight ya kurukia na wakati mwingine ndege hujaza mizigo mingi na kusababisha hilo tatizo
Hicho kidaladala unataka kulinganisha na Marcopolo! Sio kosa lako niuzoefu wa unafuu wa bei na kukimbizana kuwahi seat wa huko ulipo ndio unakufanya ufikiri hata huku watu wakipanga foleni wanakimbizana kama huko.fly540
Unapolinganisha mashirika yetu ya ndege na Global Airlines utakuwa hutendi haki, kwa level yao tuwatendee haki wanajitahidi mno. Nilifikiri labda utalinganisha na ATCL, KENYA AIRWAYS etc. Ukifanya hivyo na kwenye miundo mbinu ya barabara utahoji mbona Tz hakuna Flyovers kama Los angels.
Huyo jamaa mwenye koti jeusi alikosa siti.
Soko huria, Kama utaki kapande treni ya TRL basi....
Hao Precision Air wanatoa boarding pass? kama wanatoa inaonyesha seat number? kama ni hivyo kunahaja gani ya kugombania hivo? SUMATRA wanahusika hapo au wanangoja yatokee majanga kama yale ya kule Congo DRC yanayosababishwa na ndege kuzidisha abiria yaani wanasimamisha abiria na mizigo kibao.
Hakuna cha ajabu hapa mkishuka kwenye shuttle kuingia kwenye ndege ndo hivyo tu hata Ulaya. Cha kujiuliza ni kwamba walikuwa wanawahi nini hadi kucrowd kwenye ngazi kiasi hicho
Mkuu R. Chapelle rafiki yangu sana wewe nimekupata vizuri, yaani ingekuwa vizuri kama kila mwana jamvi angekuwa anaelimisha kama ulivyofanya. Wahusika wenye macho ya kusoma hoja nzito kama hizi wamesoma na watazifanyia kazi.MKUU HAPO UNAKOSEA UNAVYOSEMA HIVYO TENA UNAKOSEA SANA MKUU KWANI KATIKA AIRCRAFT BUSINESS KUNA KITU KINAITWA ​AIRCRAFT GROUND HANDLING NINAVYOSENA AIRCRAFT GROUND HANDLING NAMAANISHA HUDUMA KAMA Cabin service, Catering, Ramp service,Passenger service, Field operation service
MAKAMPUNI YANAYOTOA HIZO AIRCRAFT GROUND HANDLING NI KAMA Olympic Handling, Aviator Airport, AlliancServisair, Handlex Goldair Handling Dnata NA HAPA NYUMBANI TUNA SwissportKWA UELEWA WANGU MDOGO NI KWAMBA MAKAMPUNI YA NDEGE YANALIPA KWENYE MAKAMPUNI HAYO HIZO SERVICE
HAPO UMESHAJUA TATIZO NI NINI??
maybe
PRECISION AIR HAWAJALIPIA SERVICES HIZO KWANI KAMA TATIZO LINGEKUWA KWA SWISSPORT HIYO ADHA UNGEIONA KWA EMIRATES, QATAR PIA
maybe
AU UNIAMBIE KUWA HIYO PICHA IMEPIGWA MIKOANI SEHEMU AMBAPO SWISSPORT HAWAJAFIKA MAYBE... ILA KAMA NI DIA NO WAY PRECISION WAMEFANYA BONGE LA UZEMBE
MY TAKE FANYENI UCHUNGUZI KAMA NI MIKOANI
WAJASILIAMALI WACHANGAMKIE TENDA WANUNUE VIFAA VYA AIRCRAFT HANDLING SERVICES WA CHARGE KWA BEI NAFUU
INAWEZEKANA SANA
SIO KILA SIKU MNALALAMIKA KUWA MAISHA MAGUMU
Huelewi Ulaya kuna nini? Huko ndiko ndege zilianza kuruka na ndiko ziliko BBA, Air France, KLM, N.K. Ndiko waliko wanaokuwezesha kutoa comment zako JF, Kumbe hujui eenh!Kwani Ulaya ndio nini?? Ulaya ndio aliko Cameroun!!!!!!!!!