Precision Air Kama Dala Dala

Precision Air Kama Dala Dala

Hao Precision Air wanatoa boarding pass? kama wanatoa inaonyesha seat number? kama ni hivyo kunahaja gani ya kugombania hivo? SUMATRA wanahusika hapo au wanangoja yatokee majanga kama yale ya kule Congo DRC yanayosababishwa na ndege kuzidisha abiria yaani wanasimamisha abiria na mizigo kibao.

Kwani umeona wanagombani.................................!:A S embarassed:
 
Tatizo liko wapi hapo, si watu wanasubiri kuingia ndani ya ndege? Au kuna waliokosa viti na kupitia madirishani?

Nilikuwa najiuliza swali hilo hilo. Sijaona cha tofauti. Shida ni miundo mbinu isiyokidhi viwango kwenye viwanja vyetu na wala sii shirika la ndege.
 
Precision wanatutoa kimasomaso, maana bila hili shirika tusingekuwa na cha kunajadili. Halafu sioni jipya hapo. Maana kupanga foleni kwenye huduma kama hizi ni kawaida tu ..

Seriously ni kawaida kabisa?
Kweli watanzania ni zaidi ya uwajuavyo
 
..acha kudanganya umma mkuu hii kampuni iko makini na inatusaidia watz bila hii tungekuwa tunapanda nini,kupanga foleni si tatizo

Mkuu umeshawahi toka nje labda ukaona jinsi makampuni kama delta airlines yanavyofanya kazi ??
NAULIZAA
 
Hao Precision Air wanatoa boarding pass? kama wanatoa inaonyesha seat number? kama ni hivyo kunahaja gani ya kugombania hivo? SUMATRA wanahusika hapo au wanangoja yatokee majanga kama yale ya kule Congo DRC yanayosababishwa na ndege kuzidisha abiria yaani wanasimamisha abiria na mizigo kibao.
Kama wewe ni mtumiaji wa Precision Air utakuwa unajua sababu, kama hujui ni kwamba kampuni ina mabasi maalumu yanayochukua abiria toka chumba cha kupumzikia mpaka eneo ilipopaki ndege. Kwa vyovyote vile abiria wakishuka kwenye basi kwa wakati mmoja lazima watakuwa wengi tofauti na ndege nyingine ndogo ambazo huwa zinapaki karibu kabisa na chumba cha kupumzikia abiria, hapo abiria huingia mmoja mmoja ndiyo maana hutaona hali kama hiyo.

Boarding Pass zipo na muelekezaji yupo mlangoni lakini hii pengine ni hulka ya wabongo tu wenyewe hawajiamini..
 
Mi naiona mizungu mingi tu hapo..........shida inakuja pale wanaposema ni FREE SEATING ndipo hali hii hujitokeza

246581_386992324704878_2066763978_n.jpg
 
Usiwake tu........hiyo ni sababu ya kauli FREE SEATING..........Sasa hapo kila mtu anawahi siti ya dirishani
Wewe unatumia shirika gani... Precision Air hakuna free seating wewe kila mtu anakaa seat yake. Hata juzi tu natoka Mwanza kuna dada mmoja aliyekuwa na tiketi iliyokuwa na utata alishushwa kwenye ndege baada ya mwenye seat halisi kutokea, ikabidi maafisa wa shirika wamshushe yule dada kwa mahojiano zaidi na ndege ikaondoka.
 
Ukiingia ndani unatangaziwa "free seating" hapo ugomvi unaanza wa kugombania seats
 
Wewe unatumia shirika gani... Precision Air hakuna free seating wewe kila mtu anakaa seat yake. Hata juzi tu natoka Mwanza kuna dada mmoja aliyekuwa na tiketi iliyokuwa na utata alishushwa kwenye ndege baada ya mwenye seat halisi kutokea, ikabidi maafisa wa shirika wamshushe yule dada kwa mahojiano zaidi na ndege ikaondoka.

Natumia Precision mara nyingi sana na hiyo FREE SEATING ipo tu........Usibishe
 
Mkuu umeshawahi toka nje labda ukaona jinsi makampuni kama delta airlines yanavyofanya kazi ??
NAULIZAA
Unapolinganisha mashirika yetu ya ndege na Global Airlines utakuwa hutendi haki, kwa level yao tuwatendee haki wanajitahidi mno. Nilifikiri labda utalinganisha na ATCL, KENYA AIRWAYS etc. Ukifanya hivyo na kwenye miundo mbinu ya barabara utahoji mbona Tz hakuna Flyovers kama Los angels.
 
Natumia Precision mara nyingi sana na hiyo FREE SEATING ipo tu........Usibishe
Free seating hutokea tu pale abiria wanapokuwa wachache kuliko seat zilizopo, uliona wapi free seating Mwanza-Dar ambapo abiria ni wengi? nakumbuka hata enzi za ATCL , DAR-MTWARA abiria walikuwa free kukaa seat yoyote kutokana na uchache wa abiria.
 
Wewe lazima utakuwa mfanyakazi wa hilo shirika manake umewaka mpaka povu
UNATAKA ULETE PUMBA ZAKO WATU WAKUUNGE MKONO TU ILIIWEJE NA KWA MASLAHI YA NANI?
, WAKIHOJI BASI NI WATUMISHI WA SHIRIKA LA NDEGE.
Kajipange upya..
 
Free seating hutokea tu pale abiria wanapokuwa wachache kuliko seat zilizopo, uliona wapi free seating Mwanza-Dar ambapo abiria ni wengi? nakumbuka hata enzi za ATCL , DAR- MTWARA abiria walikuwa free kukaa seat yoyote kutokana na uchache wa abiria.

Anyway.........I have been flying since 1978 and free seating has been there ever since whether the plane is full or not
 
mkuu grafani11,

Unaposema free seating una mana gani?

Nijuavyo mimi kuna classes either Bussiness class or Economy class, sasa unavyokuja kwenye Economy class huko ndio kwenye shida..

Ukichosema si sahihi hakuna "Free seating"

Mkuu distazo, ni kweli they do gave the boarding pass,and yes they do indicate SEAT NO...ila alichosema mkuu Safari_ni Safari kuwa kuna free seating KIPO..kwani despite your boarding pass showing the seat #, mkiingia tu hostess watakwambia, "Msijali kaeni popote pale" au "Chagua seat yeyote tu unayopenda, karibu sana PA"

Hii kwa utaratibu(kama grafani11unavyosema haipaswi kuwa hivyo) lakini je ndivyo inavyofanyika?..Jibu ni hapana.
 
Precision wanatutoa kimasomaso, maana bila hili shirika tusingekuwa na cha kunajadili. Halafu sioni jipya hapo. Maana kupanga foleni kwenye huduma kama hizi ni kawaida tu ..

Industrial espionage....hatuna chaguo jingine kwa sababu wao ndio wameshiriki kuiua ATC,,.conspiracy
 
Umetumwa na shirika gani? Usidanganye umma, ninaitumia sana Precision Air, kinachotokea hapo ni kwamba abiria wanachukuliwa na mabasi maalumu ya kampuni toka sehemu ya kupumzikia kwenda pale ndege ilipopaki, sasa kwa mfumo huo ni lazima mtafika wengi kwa wakati mmoja kwenye ngazi hivyo kulazimika kuingia kwa foleni. Sasa hapo kuna ubaya gani?
Bila shaka umetumwa na wale waliopasukiwa kioo cha mbele kule Kigoma.

yes na hakuna ubaya ukizingatia kila mtu ana seat yake hapo................:smash:
 
jro.jpg

Ni tofauti na hawa eeeeh.........!
Air Tanzania inaanza tena haya wadau kweli tutashindana na hawa jamaa.....!
Bora tuishabikie Precision air maana at least tuna ndege ya Watanzania wenzetu....!
 
mkuu grafani11,

Unaposema free seating una mana gani?

Nijuavyo mimi kuna classes either Bussiness class or Economy class, sasa unavyokuja kwenye Economy class huko ndio kwenye shida..

Ukichosema si sahihi hakuna "Free seating"

Mkuu distazo, ni kweli they do gave the boarding pass,and yes they do indicate SEAT NO...ila alichosema mkuu Safari_ni Safari kuwa kuna free seating KIPO..kwani despite your boarding pass showing the seat #, mkiingia tu hostess watakwambia, "Msijali kaeni popote pale" au "Chagua seat yeyote tu unayopenda, karibu sana PA"

Hii kwa utaratibu(kama grafani11unavyosema haipaswi kuwa hivyo) lakini je ndivyo inavyofanyika?..Jibu ni hapana.
Mbona hueleweki? unakataa nini na unakubali nini? kabla sijakujibu hebu fuatilia michango yangu toka mwanzo. Jamani someni mada na michango ya wengine ili muelewe yupi anaunga mkono hoja na yupi anapinga.
 
View attachment 67818

Ni tofauti na hawa eeeeh.........!
Air Tanzania inaanza tena haya wadau kweli tutashindana na hawa jamaa.....!
Bora tuishabikie Precision air maana at least tuna ndege ya Watanzania wenzetu....!
Naona nimebakia peke yangu wote wamekimbia. Wape nyingine ili ulimbukeni wa kushabikia vitu wasivyovijua uwatoke.
 
Back
Top Bottom