Precision Air Kama Dala Dala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision Air Kama Dala Dala

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 10, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Duuuuh! sina comment.
   
 5. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kama fungulia mbwa kwenye mabanda unguza
   
 6. tototundu

  tototundu Senior Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo liko wapi hapo, si watu wanasubiri kuingia ndani ya ndege? Au kuna waliokosa viti na kupitia madirishani?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Mbuzi Mzee, naomba nikuite jina lako la heshima kabisa, MBUDHI MDHEE, Precision Ni balaa tupu, unaweza kukuta rubani anawatangazia bila kipaza sauti, samahani wateja wetu, umeme umekatika, mwenye simu ya tochi aniazime niongozee ndege
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Asante Mukulu, jina nimelikubali, limetulia bila ya purukushani ya Precision Air
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,284
  Likes Received: 12,995
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndege ya mwanza huwa inanukia samaki kwa ndani

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 10. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Precision wanatutoa kimasomaso, maana bila hili shirika tusingekuwa na cha kunajadili. Halafu sioni jipya hapo. Maana kupanga foleni kwenye huduma kama hizi ni kawaida tu ..
   
 11. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,349
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha!!kama daladala za fery!!!
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Duh hisa zetu kumbe zitalipwa kwa mtindo huo wa hiyo nyomi!!!!
   
 13. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Umetumwa na shirika gani? Usidanganye umma, ninaitumia sana Precision Air, kinachotokea hapo ni kwamba abiria wanachukuliwa na mabasi maalumu ya kampuni toka sehemu ya kupumzikia kwenda pale ndege ilipopaki, sasa kwa mfumo huo ni lazima mtafika wengi kwa wakati mmoja kwenye ngazi hivyo kulazimika kuingia kwa foleni. Sasa hapo kuna ubaya gani?
  Bila shaka umetumwa na wale waliopasukiwa kioo cha mbele kule Kigoma.
   
 14. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  grafani 11, unachosema ni kweli lakini hiyo hapo(pichani si Basi ni ndege).

  -Pili kwa mfano ukishuka Mwl Nyerere Airport hadi lounge magari yanawafata, lakini kwa mwanza that happens mkienda kupanda tu(kule karibu na ndege za UN), na vivyo hivyo katika vituo vya Mtwara, Kigoma, KIA..LAKINI sasa kwenye picha inaonyesha wanapanda usafiri wa ndege mkuu!!

  Labda ungesema walikuwa "wamechoka sana" kutokana na delay za Precision Air( Departure time iliyoandikwa katika ticket SI halisi).
   
 15. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hao Precision Air wanatoa boarding pass? kama wanatoa inaonyesha seat number? kama ni hivyo kunahaja gani ya kugombania hivo? SUMATRA wanahusika hapo au wanangoja yatokee majanga kama yale ya kule Congo DRC yanayosababishwa na ndege kuzidisha abiria yaani wanasimamisha abiria na mizigo kibao.
   
 16. K

  KIGOMA KWETU Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  ..acha kudanganya umma mkuu hii kampuni iko makini na inatusaidia watz bila hii tungekuwa tunapanda nini,kupanga foleni si tatizo
   
 17. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Samahani kumbe mnasaidiwa.
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wewe lazima utakuwa mfanyakazi wa hilo shirika manake umewaka mpaka povu
   
 19. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Soko huria, Kama utaki kapande treni ya TRL basi....
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Usiwake tu........hiyo ni sababu ya kauli FREE SEATING..........Sasa hapo kila mtu anawahi siti ya dirishani
   
Loading...