😁😃😀😀😅😀😀😄😄😁Mlimfungia Fast jet kwa mihemko yenu sasa kelele zinaanza
Ni nini ambacho sio shida hapa Tanzania..?Usafiri wa anga ni shida tu hapa Tanzania.
wakinyimwa vibali ATCL hana ndege za kutosha hata kwa route za ndani tu.
Usafiri wa anga ni shida tu hapa Tz
Hivi hawajaruhusu wawekezaji wa sector hii? Au masharti magumu? Vp huyu kimeo kapita vp due diligence?
Wamefanya nini? Bila maelezo hii ni fitna tu!
Anayetoa vibali ili ndege ziwe registered na kuruka achunguze Precision Air.
Precision gharama zao ziko juu, wahudumu hawana msaada na ndege zao hata siku moja haziheshimu muda.
Wapewe ultimatum. Hawafai na hawana professionalism.
Soma vizuri nimeelezea. BTW hapa nilipo again the have outdone themselves delayed flight. Hata foreigners waliyokuwa silent are not happy. In a span of 4 trips I have taken in 1 month ALL THEIR FLIGHTS DELAYED.Wamefanya nini? Bila maelezo hii ni fitna tu!
Hahaha, eti angeenda Mwanza kwa kukimbia.Hujawajaribu air Tanzania ndio wana majibu unaweza tamani bora ungeenda dar mwanza kwa kukimbia wenda ungejenga na mwili