Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Hawa watunga Mashairi na uongo, naona kama wanjitekenya. Hivi Membe ni president material kweli?

Na hawa chadema kesho Membe akipewa fursa ya kugombea, watumuitaje and kweli watakuwa na ndimi za kumtukana.
 
Mtu anayeweza kuguswa akanuka ni mwenye zigo la mavi tu, hivyo jiongezeni wenyewe
 
Membe anatafuta huruma ya wananchi tu hapo. Mi ccm yote ni mihuni na inanuka rushwa.
 
Hasa we unadhani taarifa hizi Ni za uongo? Vipi kuhusu gari aina hiyo kwenye picha imetajwa?
 
Hasa we unadhani taarifa hizi Ni za uongo? Vipi kuhusu gari aina hiyo kwenye picha imetajwa?
Naona umeifahamu hii account ya Kigogo jana! Tunachoshangaa ni Kachero maarufu kupeperushwa na upepo wa social media na hasa huyo kigogo! Kuuliza ni kweli au si kweli ni kama umemjua kigogo jana!
 
unachokitafuta utakipata....wakikoment unitag na mimi nitoe tongo tongo zangu
 
Wagusaji huwa hawabakizi utajikuta umeguswa sijui utaenda kuleta huko kunuka Motoni maana wanasiasa kuiona mbingu ni ishu.
Kombe anajua wagusaji walivyo hawabakizi hata harufu
 
Huko ni kijipa false hope. Rais Dkt John hamuogopi mtu yeyote ndani ya nchi hii. Kama unabisha mwambieni huyo membe wenu aende akamjaribu. Then atawasimulia kitakachompata.
Membe kawa challenge "NIGUSE"... mbona hawamgusi sasa?
wameufyata maana wanajua ni kina kirefu!
 
Naamini kwa dhati hii ni movie kuelekea uchaguzi,2020 CDM isimpokee Membe iende na Lissu kama ana mpango huo na kama hana achukuliwe mwingine ndani ya CDM lkn iwe isiwe hakuna kuchukua kapi.

Kama Lowassa hakutoa funzo then tutakua chama cha mataahira per se.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…