immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,583
Wakuu natumai hamjambo wote.
Daaah hii ishakuwa hatari mpka naishiwa pawa kuhusu hilo swala la pre-mature ejaculation hali inazidi kuwa mbaya .
Kama ni zoezi na piga sio haba lakini wapi hali ni ile ile wakati wa romance tu tayari nishatuwa mzigo aiseeš„².
Hii hali inanisikitisha sana hata sioni umuhimu wa kukutana na demu maana utaishia kudhalilika tu umeloanisha suruli si aibu hizi wakuu.
Naombeni ushauri wenu wakuu ninusurike na hii fedheha
Yaani unakuwa unaishia tu kula kwa macho aiseee hii kitu inanikata balaa
Tafadhali naombeni ushauri wenu na kwa yeyote aliiwahi pitia changamoto kama yangu naomba anaipe mwongozo uliwezaje kukabiliana nayo.
Asanteni sana.