Excellent Training Center
Member
- Aug 9, 2017
- 65
- 24
Uongozi wa kituo cha Elimu Huria cha Excellent Training Center kilichopo Upanga Mashariki karibu na Regency hospital tunawakaribisha wazazi na walezi kuleta vijana wao watakao hitimu Elimu ya Msingi mwaka huu kujiunga na program ya Pre form I itakayoanza 11.09.2017 muda ni saa 8:30 hadi 01:30.
Simu yetu ni 0676450289 Ada ni Tsh 60,000 kwa miezi tatu yote.
Simu yetu ni 0676450289 Ada ni Tsh 60,000 kwa miezi tatu yote.