Teamo relax na itaenda vizuri, kwavile hiyo ni experience ya kwanza kwako lazima unakuwa umechanganyikiwa. Labour hours pia pains zinatofautiana kati ya wanawake. Hata kwa mkeo hiyo experience ya labour inaweza kuwatofauti kwa watoto atakaojifungua.
All the best and you're soon going to be a daddy, how nice!!..regards to your wife and my prayers are with her&little angel!!!
ooh inaumiza 15 hours maumivu ya aina gani nimesikia machozi nilipata maumivu ya masaa 9 mtoto wangu wa kwanza kwakweli siwezi kueleza Mungu ni mwema atajifungua salama yupo kwenye maombi yangu
Usiseme hiyo kitu mazee. Mi alikaa masaa 18, mambo yakawa magumu, ikalazimika kutafutwa ambulance kumwahisha muhimbili. Sitasahau mlio wa ile siren na kilio cha my dear wife. Sitasahau ile tarehe 20/11 siku ya Jumatatu. I will never!
Hongereni sana Mrs & MrTeamo, Mwenyezi Mungu akuongezeeni furaha na mapenzi kwenye ndoa yenu... na akukuzieni mtoto wenu. Awe ni mtoto mwenye adabu na heshima kwa wazazi na kwa jamii kwa ujumla... Mwenyezi Mungu amuepushe na mafataki na kila shari himpitie mbali. Amin!