Pole sana ila kumbuka kuna wakati hawa madakitri wetu wanaweza wakakwambia kitu ukadhani ni kweli kumbe hakuna loloteeeeeeeee, ungekuwa na pesa panda ndege mpeleke baba yako India... kwa uangalizi zaidi, hapa watu wanadesa sana kwenye mitihani na wanafanya makosa kibaoo makazini. Nawajuwa watu wengiiiii waliambiwa wana cancer, etc etc kumbe siyo kweli. Hapa Bongo ni nomaaaaa...