PPT MAENDELEO twende lini ikulu kupiga juice?

Hizo juice zitawatoa roho sijui kama mnazo fedha za matibabu India au ndio kodi yetu..
 
Sisi tlp kesho tuna kikao cha kuchagua wajumbe wa kwenda magogoni. Kwa kweli siku 1 au 2 hazitoshi, tutamwomba jk aturuhusu tuishi pale japo wiki 1.

Mkitoka nyinyi nishtue basi ili nimwambie Mwenyekiti wangu Bw. Dunstan Lifa Chipaka wa NAREA nae tujiandae tukapige kikombe.
Najua msimu huu ni wa Maembe na Mananasi hivyo juice ipo tu ya kumwaga
 
DP Ltd sisi tukienda ikulu tukienda tunataka kuandaliwa ma Johnny Walker, Jack Daniel, Vodka na makuku na mambuzi ya kuchoma. Hapo kikao kitakuwa na maana.
 
Huyu siyo wa kumwamini sana kwani nafikiri hata Mkuu wa Kaya analijua. Akiahidi kwenda ikulu, nafikiri hawatamwandalia Juice kwani anaweza kugairi dakika za mwishoni kabisa kama alivyojitoa kwenye uchaguzi mkuu na kusababisha hasara kwa ikulu yetu.Huyu ni kumutayarishia maji tu ya kunywa.

hahaaaaa alijiuzulu then watu wakampa kura , siku ya kutangazwa matokeo akatimba kuuza sharubu
 
Hilo Jina la kati ilitakiwa uliite kama walivyoliita tume ya uchaguzi (NEC-Ccm D) ndio inanoga mkuu,
ingawa walilikosea,
Aliitwa DOVUTWA YAHMI DOVUTWA a.k.a Mgambo bila kirungu!!

hahaaaaa sasa mgambo huyo au muuza kahawa
 
Back
Top Bottom