PPR na IPS zipi ni nzuri zaidi kwa mfumo wa maji safi (Baridi na moto) kwa nyumba?

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,071
1,211
Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani.

Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje.

Asante
 
Binafsi nakushauri tumia Ips kwa sababu ziko very flexible in all pressures,PPR zina limit za presha,pia PPR zina shida kwenye maungio fundi akijichanganya kwenye kuunga utajua hujui.,..

N.B nasupply hzo kitu, uliza Bei nikupe mwongozo
 
PPR ni za kishamba japo ni nzuri kuliko IPS na IPS pia ni za kimasikini mkuu! Mi nyumba zangu zote nimeweka HDPE kutoka uingereza!
Nilitegemea utoe comparison kwa kuangalia pressure handling capacity, quality na availability. Huo ushamba uliousema bado haujajibu swali la mtoa mada
 
PPR na IPS japo kwa picha tuone utofauti wake. Zinatofautianaje?
 
Kwa upande wangu mimi kama fundi bomba Ppr si rahisi kuvuja kwa sababu tuna zichoma ni nzuri hila athari zake ni kwamba ni ngumu kufanya maintanance endapo itatokea bomba limepasuka lakini ips ni rahisi kufanya maintanance lakini fundi inabidi awe makini sana katika kuunganisha viuongo kusitokee mvujo all in all ips ni nzuri hizo za kijani ndiyo ppr
FB_IMG_16568478394727129.jpg
FB_IMG_16619583277897026.jpg
 
Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani.

Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje.

Asante
Mkuu hukutoa mrejesho ulitumia bomba gani.
 
PPR na IPS japo kwa picha tuone utofauti wake. Zinatofautianaje?
Uzuri wa ips ni kwamba kuna kiungo kinaitwa Union ingawa mafundi wengi siku hizi hawakitumii ila ni cha muhimu sana kwani wakati wa kufanya maintenance kinakusaidia kufunga au kutenganisha mabomba tofauti na ppr ukichoma ndo basi ikitokea bomba limepasuka inakua ngumu kulifanyia matengenezo.
 
Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani.

Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje.

Asante

Ppr ni nzuri kama ukipata og ambazo ni made in uturuki na fundi awe mzuri maana akichoma vibaya utatindua tena tyles kurekebisha likeji.hizi za sasa nyingi ni argenta sio mbaya saaana maana ndio ziko sojoni sana.mafundi wanakinbilia ips maana site nyingi unakuta umeme hakuna hivyo akitumia ppr inamkosti kukodi jenereta na pasi ya kuchomea au unakuta fundi kufunga ppr hajawahi hivyo anakuwa mwoga.
Hizo ips nazo kuna feki na nyingi ndio ziko sokoni.ips og ile ya nusu nchi pc 1 ni 17000
Hizi feki za kawaida mjini ni 6500 nazo eti wanaziita ips ila sio ips ni kwa sababu zinafanana na ips.
Kama utatumia ppr ni nzuri ila ziwe za uturuki zote na viungio vyake. Na bei ya ppr ya mturuki imechangamka tofauti naya argentina
 
Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani.

Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje.

Asante

Na kama utatumia ips nunua gundi inaitwa boss white fundi akisha chonga tred na kufunga seal tape apake boss white alafu afunge hii mi mzuri sana inazuia likeji kama maji yakiwa na presure kuliko yavuje ni cock itang'oka kwenye elbow au tee
 
Uzuri wa ips ni kwamba kuna kiungo kinaitwa Union ingawa mafundi wengi siku hizi hawakitumii ila ni cha muhimu sana kwani wakati wa kufanya maintenance kinakusaidia kufunga au kutenganisha mabomba tofauti na ppr ukichoma ndo basi ikitokea bomba limepasuka inakua ngumu kulifanyia matengenezo.

Hata ppr mbona union ipo?
Unioni mara nyingi inafungwa nje surfes au kwenye get valve ili siku imekufa inakuwa rahisi kubadilisha
 
Kwa upande wangu mimi kama fundi bomba Ppr si rahisi kuvuja kwa sababu tuna zichoma ni nzuri hila athari zake ni kwamba ni ngumu kufanya maintanance endapo itatokea bomba limepasuka lakini ips ni rahisi kufanya maintanance lakini fundi inabidi awe makini sana katika kuunganisha viuongo kusitokee mvujo all in all ips ni nzuri hizo za kijani ndiyo ppr View attachment 2346211View attachment 2346214
Mkuu kwanini vyoo na bafu za nyumba zetunza kiafrika ni ndogo sana tofauti na vyoo vya nchi za wenzetu ambavyo unakuta vina space kubwa
 
Back
Top Bottom