PPF/PSSSF tukutane kuzimu!

...hiyo sheria mbona haijafafanua hiyo 33.3% itaanza kulipwa lini kwa MTU aliyepoteza ajira
...au ndio mwendo wa njoo kesho na kupigwa kalenda plus usumbufu
 
Ndio maana hata mm nimemuuliza hapo juu mkuu_maake mbali na kusema sheria ni mbovu ila hata hizo 25% na 33.3 % ni danadana mpaka ukate tamaa
 
...hiyo sheria mbona haijafafanua hiyo 33.3% itaanza kulipwa lini kwa MTU aliyepoteza ajira
...au ndio mwendo wa njoo kesho na kupigwa kalenda plus usumbufu
Duhhh!
Job true true!
 
Jibu maswali hao nssf hawalipi kwa wakati ...hili unalionaje ?
 
Kwahiyo ni sheria mpya ndio inawafanya wakupeleke mahakamani na kukucheleweshea madai halali?
Kuna Jambo haliko Sawa mahali.
Tuijadili sheria na sio utendaji usio na tija wa watendaji.
Sheria mbovu,..utendaji kazi wa mifuko ni chini ya viwango ....kila siku danadana
 
Acha uwongo poyoyo mkubwa
Aliechangia miaka 15 huyo hausiki na 33% natamani uisome hiyo sheria mpya kisha soma na ile ya zamani ndugu poyoyo the great......
Tunakuuliza hiyo 33% inalipwa kwa wakati ?!...acha upuuzi
 
Hizo sheria mnazifuata ?...hapo juu kuna MTU kasema rafiki yake aliambiwa aende tar 10...lakn mpaka sasa anazungushwa...unaliongeleaje hili ,_nssf staff ?
 
Nimeumia sana, hivi kwa nini mnatutesa namna hii ,kwa nini lakini , Mani kawapa hii mamraka juu ya maisha yetu?
"Watakapotumaliza sisi wanasiasa wa upinzani, watawafuateni ninyi wafanyakazi, na hakutakuwa na wa kuwatetea".
Alisema ATLissu.
 
Unaongea nini wewe pimbi??
Nina imani hujaisoma sheria mpya wala ya zamani ili upate kujibu kwa hoja.....
Tafadhali soma mtanzania mwenzangu, muhanga wa haya mambo.
 
Time will tell...

Sasa hivi ni mwendo wa kuchungulia mifuko na kujichotea fedha...


Cc: mahondaw
 

Serikali ya sasa inajali zaidi maendeleo ya vitu. Sio watu. Oops tulianzaje kuchagua kiongozi mnafiki kama huyu. Kiongozi mshamba Usipime!! Nov.5 2020 au 2025 au hata before ( who knows mambo ya Rabana!!!), itakuwa sherehe kubwa hapa Tanzania pale atakapoapishwa rais mpya ( sio Lowassa off course). Aje atuondolee huu ujinga wa kuwa na kiongozi asiyethamini utu. Sometimes viongozi wa hovyo hutumia vifungu vya Biblia kukandamiza watu.
"'Asiye fanya kazi na asile. Afe" . Wakati hata akifanya kazi halipwi. Naona ameanza kutukana wapigakura wake waziwazi. Shame on him!!
 
Natamani Mtikila angekuwepo leo hawa wanyang'anti wangefikishwa mahakamani kwa huu wizi wa mchana. Wafanyakazi hatuna mtetezi kabisa. 2020 itaamua hatma yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…