PPF Group Endowment Saga: THE FINAL REPORT

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
ppfgessaga.png

Ripoti hii ina mambo yake na ina hoja zake. Kama nilivyoahidi, baada ya hii ni sabbatical ya muda mrefu kupumzika (details in the report). Enjoy na tuwashukuru wale wote ambao wameweka mikononi mwetu mambo mazito kama haya na kutufanya sisi wengine tuwe kama vipaza sauti tu na sauti zale wasio na sauti.

Nawashukuru milele wale mashujaa ambao mabegani mwao nasimama. Wale ambao kwa pamoja tumesafiri safari hii ambayo tuzo yake ni dharau na taji yake ni kisasi. Safari ambayo imejenga marafiki wengi wa kudumu maisha yote lakini pia imejenga maadui wa kudumu. Kwa marafiki zangu asante, kwa maadui mapambano dhidi ya utawala wenu mbovu wenye kutukuza ufisadi yanaendelea kwani mmetengeneza uadui wa kudumu kati yenu na mamilioni ya Watanzania. Sauti zetu na za wale watakaokuja nyuma yetu zitakaa juu yenu mpaka msalimu amri.

Unaposoma ripoti hii enjoy na fanya uamuzi wa kubadilisha kura yako.

Yote Kwa Utukufu Mkuu wa Mungu

BONYEZA HAPA KUPATA NAKALA YAKO - LIMITED EDITION

Ukichelewa, ukikosa, Usiulize iko wapi?
 
Hakuna link. uki-click unapata picha tu basi. - cover photo
 
Mwanakijiji,

URL/Link/ Attachment ya Ripoti haipo - Please reupload/reattach

Thanks anywayz...
 
Ripoti hii ina mambo yake na ina hoja zake. Kama nilivyoahidi, baada ya hii ni sabbatical ya muda mrefu kupumzika (details in the report). Enjoy na tuwashukuru wale wote ambao wameweka mikononi mwetu mambo mazito kama haya na kutufanya sisi wengine tuwe kama vipaza sauti tu na sauti zale wasio na sauti.

Nawashukuru milele wale mashujaa ambao mabegani mwao nasimama. Wale ambao kwa pamoja tumesafiri safari hii ambayo tuzo yake ni dharau na taji yake ni kisasi. Safari ambayo imejenga marafiki wengi wa kudumu maisha yote lakini pia imejenga maadui wa kudumu. Kwa marafiki zangu asante, kwa maadui mapambano dhidi ya utawala wenu mbovu wenye kutukuza ufisadi yanaendelea kwani mmetengeneza uadui wa kudumu kati yenu na mamilioni ya Watanzania. Sauti zetu na za wale watakaokuja nyuma yetu zitakaa juu yenu mpaka msalimu amri.

Unaposoma ripoti hii enjoy na fanya uamuzi wa kubadilisha kura yako.

Yote Kwa Utukufu Mkuu wa Mungu

shukrani kwa hili

lakini tambuwa kuwa kuna wasioweza kusema wanahitaji kusemewa na wewe ni mmoja wa watu wa wakuwasemea hao ama wale wasioweza kusema

endelea kutumia nafasi na kipaji alichokupa mwenyezi mungu

sema kweli daima fitina kwako mwiko
pamoja daima,tusipofanya sisi nani atatufanyia?
 
Mwanakijiji,

I hope this isn't 1st April?

See!
JamiiForums Message

Invalid Attachment specified. If you followed a valid link, please notify the administrator
 
M.M Vipi, mbona link imegoma? Au usalama wa PPF wameingilia?
 
Duh.. basi kasheshe.. wanachakachua mpaka links.. nadhani ni ukubwa wa faili lenyewe. Keep watching the first post mambo yakikaa sawa basi ndiyo hivyo.
 
Mkuu Mwanakijiji hata mie link sipati attachment yoyote, kuna message inasomeka kwamba you followed an invalid link.
 
Jaribu tena.. nadhani kuna limitation ya bandwidth.. unless invisible aiongezee hapa nafasi.
 
......kama Mwalimu angefufuka leo hii..........!!!!??? Mhh.......malizia mwenyewe
 
mwanakijiji@jamiiforums.com

Ikawa Ahabu alipomwona Eliya, Ahabu akamwambia, Je! Ni wewe, Ewe mtaabishaji (troublemaker) wa Israeli? Naye akajibu, Si mimi niliyewataabisha Israeli bali ni wewe (speaking truth to power), na nyumba ya baba yako (Bila kuuma maneno), kwa kuwa mmeziacha amri za BWANA (mafundisho ya msingi ya taifa); nawe umewafuata mabaali (a.k.a mafisadi unaowaabudia). 1 Wafalme 18:17 Fikiria.
 
For reasons only known to a ghost sipati hii attachment. only cover photo. au mwanakijiji unachagua nani awe na access ya hii link:) ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom