Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Kwahiyo wewe merengo na Heaven Sent mnataka kusema Mamndenyi kafanana na pipiro? Kwani pipiro ni mwanamke? Huu utani wenu huu...!!!
Hahahah kwenye mapenzi sina urafiki kabisa utanichezea mambo mengine sio mapenzi ninakuwa nipo Serious Mkuu mshana jrHaaaaaa kumbe kwenye malovee unabadilika kabisa MziziMkavu? Usiamini chochote nilichoandika tafadhali
MziziMkavu ana dawa bhana hii haiwezi mkuta! Lol...amesahau habari za yule mnija aliyepoteza uhai baada ya wife zake wanne kudai game kwa wakati moja. kipindi hicho ameishahudumia mke mdogo, yaani wife namba 5.
MziziMkavu ana dawa bhana hii haiwezi mkuta! Lol...
Ila sijui kama Mamndenyi na FaizaFoxy wataiva kwenye chungu kimoja? Lol..:A S wink:
MziziMkavu ana dawa bhana hii haiwezi mkuta! Lol...
Ila sijui kama Mamndenyi na FaizaFoxy wataiva kwenye chungu kimoja? Lol..:A S wink:
Ni sawa na kutengeneza atomic bomb
amesahau habari za yule mnija aliyepoteza uhai baada ya wife zake wanne kudai game kwa wakati moja. kipindi hicho ameishahudumia mke mdogo, yaani wife namba 5.
Kumbe mamdenyi bado kijana?halafu umempakaza mbona mie namfahamu ni mweusi.
Katoto sana hako kaache.
Mi nafahamu tabasamu lako bhana na ka baby face chako Mamndenyi wetu wasikuchagize watoto wa mujini.
Hivyo hivyo, halafu siku zote MziziMkavu ananitia kwenye maisha ya hatari hatari hivi hivi; sijui hata ni kwanini.
FaizaFoxy amerudi asante kwa masahihisho bidada nobody is perfect