manka81
Member
- Oct 13, 2012
- 69
- 34
wanawake wenzangu mwanaume lazima atumie kinga{condom}kila anapomuingilia mtu yeyote
katika mapenzi,endapo kuna dalili zzote za maambukizi utakuwa umeepuka, so wanawake tuwe na msimamo na tuwe tayari kushinikiza kutumia kinga.
If he refuse ,...then you refuse its not negotiable- it must
mnaonaje hii?