Power of love

duh! Haya ahsante. Ngoja niendelee kusikiliza na wengine.

Husninyo uwe tu mpole leo utapewa majibu ya kila aina. Sasa kazi kwako kuchambua nini cha kujaza kwenye hiyo homework yako ili iwe na flow inayoeleweka, vinginevyo utazoa zero toka kwa ticha.
 
Mi sijajua tu hili wazo aidha mwalimu wake au yeye mwenyewe lina uhusiano na Kifo cha The great?

Halafu watoto wa siku hizi wanasoma shule ambazo unaruhusiwa hadi internet kufanya assignment sijui homework! Siye BBC mbona tutakoma

Hunsinyo hujambo mpwa?
 
Ww una umri wa miaka mingap?una akili au usaha?kaz ya nyumban unaileta jamii frm?@tope au akili?waulize wa2 wa nyumban kwenu ikiwezekana hata bek 3 wenu analo jibu

Duh Mkuu is this really necessary ?

Hizi kejeli na lugha nzito sidhani kama zinajenga zaidi ya kupeana hasira. nadhani swali kuhusu upendo kwenye jukwaa la mahusiano ndio mahala pake sasa bek 3 ndio atatoa jibu zuri kweli kuliko umati wa watu hapa.., penye wengi haliharibiki neno mkuu, ila kama maneno yenyewe ni hizi kashfa kweli tutakuwa tunaharibu badala ya kujenga

anyway na wewe umejibu kwa kuonyesha power of hatred / chuki
 
Burn hii video kwenye DVD submit.

EMT ulikuwa wapi jamani hadi nishapeleka kazi kwa teacher! Ahsante, nitaburn nibaki nayo.
 
Last edited by a moderator:
The power of love is lack of power
to control ur emotions to see logic
nor reason when it comes on ur fellow being.

kwahiyo, kwamfano kama siwezi kujicontrol kumpenda mtu hiyo ndio tunaita POL?
 
Husninyo uwe tu mpole leo utapewa majibu ya kila aina. Sasa kazi kwako kuchambua nini cha kujaza kwenye hiyo homework yako ili iwe na flow inayoeleweka, vinginevyo utazoa zero toka kwa ticha.

mwaj wajina wangu (kutokana na nyani ngabu), yaliyobaki nitaendelea kujifunza tu maana kazi nilishamaliza.
 
Mi sijajua tu hili wazo aidha mwalimu wake au yeye mwenyewe lina uhusiano na Kifo cha The great?

Halafu watoto wa siku hizi wanasoma shule ambazo unaruhusiwa hadi internet kufanya assignment sijui homework! Siye BBC mbona tutakoma

Hunsinyo hujambo mpwa?

hahahaha! Ankoooo, mie sijambo. Umesahau hizi ni zama za sayansi na teknolojia!!
Wapi aunt jaman? Nataka mnihamishe hii tuition, naona ticha kashaanza kunifundisha ****!
 
Duh Mkuu is this really necessary ?

Hizi kejeli na lugha nzito sidhani kama zinajenga zaidi ya kupeana hasira. nadhani swali kuhusu upendo kwenye jukwaa la mahusiano ndio mahala pake sasa bek 3 ndio atatoa jibu zuri kweli kuliko umati wa watu hapa.., penye wengi haliharibiki neno mkuu, ila kama maneno yenyewe ni hizi kashfa kweli tutakuwa tunaharibu badala ya kujenga

anyway na wewe umejibu kwa kuonyesha power of hatred / chuki

bora umemjibu kiustaarabu, mi nilitaka nimtwange ngumi ya pua. Lol
 
Nani ambaye huwezi kujicontrol kumpenda? Yule njemba aliyepotea siku ile?

hahahaha! We hamisi mbona huna siri! Lol, mi naweza kujicontrol bana. Power of love haimaanishi ung'ang'anie usipopendwa bana.
 
mwaj wajina wangu (kutokana na nyani ngabu), yaliyobaki nitaendelea kujifunza tu maana kazi nilishamaliza.

'Wajina' usisahau kutuonyesha matokeo. Ukigonga "A" unapata offer ya chips vumbi na azam cola mwaka mzima wa masomo.
 
wajina utasababisha nichakachue matokeo nipate hizo chips vumbi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom