Mkuu laptop gani hiyo? Battery yake ina mAh kiasi gani?Nahitaji kujua wapi naweza pata hizi vitu hapa Dar-es-Salaam.Amazon na Alibaba naona zipo nyingi tu nahic hata bongo zitakuwepo the qn is where.
Mi ni miongoni mwa watu ambao hujikuta hawahitaj kbs laptop kuishiwa charge sbb ya umeme kukatika.Kwa yeyote anayejua zinakopatikana aniupdate tafadhali!
Niliwaza hii option nikaona ni less prefferable,usumbufu wa maintenance,petroli n.k,pia nadhan ni expensive na hata running cost yake pia itakuwa juu sbb ya petrolNunua Generator
Solar manake sasa ni lzm nitumie mchana tu,sometimes nafanya kaz usiku kucha...au nalala huku application inaendelea kuchakata usiku kucha..sidhan kama solar itanisaidia hapoMkuu laptop gani hiyo? Battery yake ina mAh kiasi gani?
Wazo la kuwa na inverter au solar power nadhani ndio jibu.
Laptop ni dell latitude e6410,battery yake ni 4200mAh.Solar ingefaa endapo ingehitajika mchana tu pekee...Mi nahitaj muda wote,if possible uninterupted supply up to 10hrsMkuu laptop gani hiyo? Battery yake ina mAh kiasi gani?
Wazo la kuwa na inverter au solar power nadhani ndio jibu.
Yangu core i7,sidhan kama kutakuwa na utifauti sana.Maana battery yake ina 4200mAh,nikipata powerbank hata ya 42000mAh ni karibia mara 10 uwezo wa battery yake,na battery yake inakaa 1:45 min at maximum load..
Kuna powerbank special kbs kwa ajil ya laptops,ambazo output yake huwa inaendana na input za laptop.Ili kujua umeme upi unaofaa laptop unaangalia tu output ya supply adapter yako.Capacity ni the same...similar to volume ya maji..Kama matumiz ni 20 litres per day,ni hvy hvy regardless maji ni ya bomba au ya kununua.So as long as current na voltage zinafaana,larger capacity means more time..output je? usiangalie tu mah kuna utofauti mkubwa wa battery za simu na laptop na hizo power bank. battery za laptop zinakuwa mfumo wa cell na zinaweza fika hadi 9.
hivyo hilo li power bank moja linaweza kuwa linatoa kiumeme kidogo sana japo ni kubwa na kupelekea hata hio laptop yako isiboot kutokana na jinsi cpu yako inavyofyonza umeme.
cheki hapa kuelewa zaidi.
Why are phone batteries measured using mAh instead of kWh? • /r/explainlikeimfive
Kuna powerbank special kbs kwa ajil ya laptops,ambazo output yake huwa inaendana na input za laptop.Ili kujua umeme upi unaofaa laptop unaangalia tu output ya supply adapter yako.Capacity ni the same...similar to volume ya maji..Kama matumiz ni 20 litres per day,ni hvy hvy regardless maji ni ya bomba au ya kununua.So as long as current na voltage zinafaana,larger capacity means more time..
Mkuu sorry labda sijakuelewa.Wh ni unit ya energy.So kipimo ambacho kingefaa kulinganishia processor labda ingekuwa Watt(W),mW,kW and the like.Na pia hiyo 47w unamaanisha 47W!!?There might be a difference,47W naona kama ni kubwa sana.Kwa lugha rahis ili battery isupport hiyo cpu kwa masaa matatu inabd iwe na capacity ya (47*3)Wh.Hii kubwa sana.Standard car battery inarange kwenye 45amp-hours,kwa tafsiri yako ni kwamba battery inayotosha kuipa power core 7 processor kwa muda wa lisaa iwe na capacity kubwa kuliko battery ya gar la kawaida.Unless hiyo w ni unit nyingine ambayo ni ndogo tu.mkuu laptop ni nyingi bila kuweka hio powerbank link yake hapa na specs zake hatutafika conclusion. angalia hizi cpu na ulaji wa umeme
-atom inatumia 2w
-core m inatumia 4w
-pentium/celeron mpya 6-10w
-u series (core i) inatumia 15w
-m series core i inatumia 35w
-core i7 quad zinatumia hadi 47w
hivyo unaona nguvu ya cpu za pc zinaanzia 2w hadi 47w kuna gape kubwa sana hapo.
sijaeka gpu hapo inaweza fika hadi 100w na zaidi.
huwezi tumia power bank ya kilaptop kisichotumia hata 10w kwenye laptop yako ya 100w.
eka link ya powerbank then tuone kama inaweza kuwa 60wh au 90wh kama battery ya laptop yako.
Kuna mtu alishawahi tangaza powerbanks fulani, wanazisifu sana. Jaribu kuangalia www.trackvenue.com. Nilipita kitambo.Laptop ni dell latitude e6410,battery yake ni 4200mAh.Solar ingefaa endapo ingehitajika mchana tu pekee...Mi nahitaj muda wote,if possible uninterupted supply up to 10hrs
hio ni cpu tu bila hata gpu hapo na i7 almost zote za quadcore na thread 8 ni watts 45 au 47Mkuu sorry labda sijakuelewa.Wh ni unit ya energy.So kipimo ambacho kingefaa kulinganishia processor labda ingekuwa Watt(W),mW,kW and the like.Na pia hiyo 47w unamaanisha 47W!!?There might be a difference,47W naona kama ni kubwa sana.Kwa lugha rahis ili battery isupport hiyo cpu kwa masaa matatu inabd iwe na capacity ya (47*3)Wh.Hii kubwa sana.Standard car battery inarange kwenye 45amp-hours,kwa tafsiri yako ni kwamba battery inayotosha kuipa power core 7 processor kwa muda wa lisaa iwe na capacity kubwa kuliko battery ya gar la kawaida.Unless hiyo w ni unit nyingine ambayo ni ndogo tu.
Nmekuelewa mkuu,research kdg nlofanya inaonesha hzo wattage ulizozisema ni sahihi kbs na za kawaida nlikuwa nmejisahau kdg kwenye conversion toka mah kwenda Wh,na hvy sio kubwa kama nlivyokuwa nafikiria.Sema cha kuconsider hapo ni kuwa hzo ratings ni ikiwa full loaded.Nmeangalia battery yangu nayo ina 4400mAh(49Wh),ndo mana inaweza ikasustain hayo mahitaji up to 1.5h.Lakin powerbank nlizoziona mm za laptop zinatoa 20V/3.3A na zina capacity mpk 32000mAh(650Wh),ambao ni capacity karibia mara 10 ya battery yangu.hio ni cpu tu bila hata gpu hapo na i7 almost zote za quadcore na thread 8 ni watts 45 au 47
ushahidi wa cpu ya laptop ya 47w
Intel® Core™ i7-4900MQ Processor (8M Cache, up to 3.80 GHz) Specifications
na hio ni cpu tu ukija gpu kama gtx 980m yenyewe tu inakula 100w so ukikuta laptop yenye i7 4900hq na gpu kama gtx 980m usishangae ikatumia zaidi ya 200w
zipo battery hadi za 90wh za laptop yako zinaweza double ukaaji wa chaji.Nmekuelewa mkuu,research kdg nlofanya inaonesha hzo wattage ulizozisema ni sahihi kbs na za kawaida.Ila sio kubwa kama nlivyokuwa nafikiria.Sema cha kuconsider hapo ni kuwa hzo ratings ni ikiwa full loaded.Nmeangalia battery yangu nayo ina 4400mAh(49Wh),ndo mana inaweza ikasustain hayo mahitaji up to 1.5h.Lakin powerbank nlizoziona mm za laptop zinatoa 20V/3.3A na zina capacity mpk 32000mAh
Amazon.com: Poweradd Pilot Pro 32000mAh Monster Capacity Multi-Voltage Portable Charger External Battery Pack: Computers & Accessorieszipo battery hadi za 90wh za laptop yako zinaweza double ukaaji wa chaji.
kama nilivyosema hapo juu battery ya laptop imegawanyika kwa cell na inaipa umeme laptop kwa wingi sababu kila cell inatoa. probably yakwako ni cell 4 kutokana ni 49wh.
hizo power bank inaweza kuwa ni just one cell lakini kubwa hivyo kutakuwa na mabomba manne yanatoa na moja linaingiza maji yataisha tu.
kuhusu hizo voltage za hio power bank am not sure kama ni kweli unaweza nipa link ili niifanyie research zaidi?
Battery ya 90Wh sana sana itaniongezea labda 2hrs tu,ambayo ni improvemnt lakin ndogo sana.Bei yake haiwez kuwa chini ya 180k,ss si ni bora hata nikaagiza tu hiyo powerbank kama bongo hazipo maana zinaanzia 130$,nikajipatia more than 10 hrs!!!zipo battery hadi za 90wh za laptop yako zinaweza double ukaaji wa chaji.
kama nilivyosema hapo juu battery ya laptop imegawanyika kwa cell na inaipa umeme laptop kwa wingi sababu kila cell inatoa. probably yakwako ni cell 4 kutokana ni 49wh.
hizo power bank inaweza kuwa ni just one cell lakini kubwa hivyo kutakuwa na mabomba manne yanatoa na moja linaingiza maji yataisha tu.
kuhusu hizo voltage za hio power bank am not sure kama ni kweli unaweza nipa link ili niifanyie research zaidi?