Hahaaa huwa sijui mnawazaga nini...hizi ni effect za viroba!! Manake hata wallet hutaki kununua!!
hah hah hah...i think i will be one of those guys who don't own a wallet...weird but i understand them...
VIROBA/spirits vilinishindaga miaka mingi huko nyuma...i'm terrified by VIROBA hata bila kuvinywa..
..ki ukweli mimi sio mtunzaji mzuri wa pesa.I'm one of those guys who can start from "lets drink few beers " to " i don't know what happened last night," kwa hiyo i missuse my money frequently.
ndovu at work
Nenda Bank ka-process ATM kadi yako, waweza adhirika hapa mjini, alafu hata huyo jamaa yako wa Bank is not proffessional huwezi ukahamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya mteja kwenda kwenye akaunti yako hata kama ni mkeo it's un-ethical...............Usinywe pombe dailly zitakuchosha, Mimi haya makitu huwa nafanya sanaWeekends tu.
ujana ndio huu,nitapumzika nikiwa babuu
Wait a minute,
Jamaa wa benki ana-access account yako anahamisha fedha halafu anakutumia kwenye simu?? Karne hii?? Nadhani bado una hangover!
Kupoteza ATM card haiwezi kubana matumizi. Wengine tushasahau hata card zinavyochomekwa kwenye ATM. ...unahamisha salio kwa simu... unalipa kwa simu....unakula bata...mwe!
Wait a minute,
Jamaa wa benki ana-access account yako anahamisha fedha halafu anakutumia kwenye simu?? Karne hii?? Nadhani bado una hangover!
Kupoteza ATM card haiwezi kubana matumizi. Wengine tushasahau hata card zinavyochomekwa kwenye ATM. ...unahamisha salio kwa simu... unalipa kwa simu....unakula bata...mwe!
Kuna mtu ana tabia kama yako, tatizo yeye akimwambia mtu amchukulie hela kwa namna unayochukuwa wewe utamsikia akisema...... CHUKUA ZOTE BAKISHA YA KUTUNZA AKAUNTI TU..... sasa kwa mtazamo huu, kupoteza ATM card hakuna maanaHabari zenyu wana M.MU....
Ngoja niende kwenye habary yenyewe..
Juzi kati hapo kwenye sikukuu ya iddi nikiwa kwenye bata batani nashusha vitu vya KINANA mapemaa tu kama mida ya saa 6 usiku kwenye mazingira ambayo mpaka leo sijaelewa nilipoteza wallet yangu.Ambayo ilikuwa na mshiko wa kutosha, A.T.M card 2, drivers lesence (hebu mtu aniambie process ya kupata nyingine) na some business cards.
tokea nipoteze ile A.T.M card sijashughulikia kutengeneza nyingine..ki ukweli mimi sio mtunzaji mzuri wa pesa.I'm one of those guys who can start from "lets drink few beers " to " i don't know what happened last night," kwa hiyo i missuse my money frequently.
Sasa tokea nipoteze a.t.m card yangu nimepunguza sana matumizi ya ghafla , yaani the only way ambayo naweza ku-acces pesa toka kwenye account yangu ni mpaka nimpigie rafiki yangu wa bank, ajihamishie pesa kwenye account yake ,a-draw then anitumie kwenye mobile money....you can see how long is the process..sijanunua hata wallet nyingine
i think i like it this way, kama kuna mtu anahisi ana matatizo ya kutumia pesa sana especially kama unakunywa bia hebu jaribu kupoteza A.T.M card yako,
"huu ushauri haujafanyiwa utafiti wowote, lakini bado naamini unaweza kumsaidia mtu hapa"
Ohhhhhhh!!!!!! I should have taken your number a longtime!!!!!!!!!!!!!!!!! Before you lost your ATM ofcause ! We could have been Buddies! What a pity that will never happen since you became the NEW YOU without the ATM ofcourse!!! What a wasted opportunity!!!!!!!!!!
GIVE AND SPEND AND GOD WILL SEND!!!!!!!!!!! Aren't you a believer brother? You are insulting the Higher Powers in your doubts and regrets in blowing that fortune! !!!!!!!!!I wonder who will they send now, cause your account is FULL!!!! What a pity!!!!!!!!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Habari zenyu wana M.MU....
Ngoja niende kwenye habary yenyewe..
yaani the only way ambayo naweza ku-acces pesa toka kwenye account yangu ni mpaka nimpigie rafiki yangu wa bank, ajihamishie pesa kwenye account yake ,a-draw then anitumie kwenye mobile money....you can see how long is the process..sijanunua hata wallet nyingine
i think i like it this way, kama kuna mtu anahisi ana matatizo ya kutumia pesa sana especially kama unakunywa bia hebu jaribu kupoteza A.T.M card yako,
"huu ushauri haujafanyiwa utafiti wowote, lakini bado naamini unaweza kumsaidia mtu hapa"