Habari zenyu wana M.MU....
Ngoja niende kwenye habary yenyewe..
Juzi kati hapo kwenye sikukuu ya iddi nikiwa kwenye bata batani nashusha vitu vya KINANA mapemaa tu kama mida ya saa 6 usiku kwenye mazingira ambayo mpaka leo sijaelewa nilipoteza wallet yangu.Ambayo ilikuwa na mshiko wa kutosha, A.T.M card 2, drivers lesence (hebu mtu aniambie process ya kupata nyingine) na some business cards.
tokea nipoteze ile A.T.M card sijashughulikia kutengeneza nyingine..ki ukweli mimi sio mtunzaji mzuri wa pesa.I'm one of those guys who can start from "lets drink few beers " to " i don't know what happened last night," kwa hiyo i missuse my money frequently.
Sasa tokea nipoteze a.t.m card yangu nimepunguza sana matumizi ya ghafla , yaani the only way ambayo naweza ku-acces pesa toka kwenye account yangu ni mpaka nimpigie rafiki yangu wa bank, ajihamishie pesa kwenye account yake ,a-draw then anitumie kwenye mobile money....you can see how long is the process..sijanunua hata wallet nyingine
i think i like it this way, kama kuna mtu anahisi ana matatizo ya kutumia pesa sana especially kama unakunywa bia hebu jaribu kupoteza A.T.M card yako,
"huu ushauri haujafanyiwa utafiti wowote, lakini bado naamini unaweza kumsaidia mtu hapa"
Hizo cards zikifika kwa mikono ya mwizi mzoefu atafanya transactions zake online kutumia hizo cards ukakuta account hewa! Usidanganye watu! Bora ungesema wazipeleke cards zao kijijini loh!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Nenda Bank ka-process ATM kadi yako, waweza adhirika hapa mjini, alafu hata huyo jamaa yako wa Bank is not proffessional huwezi ukahamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya mteja kwenda kwenye akaunti yako hata kama ni mkeo it's un-ethical...............Usinywe pombe dailly zitakuchosha, Mimi haya makitu huwa nafanya sanaWeekends tu.
hapa naongelea vitu "lite beers" , kama castle au tusker lite.
hivi fasheni ya kukaa na walet bado ipo kumbe?,nilidhani ilipita miaka ya 90.Habari zenyu wana M.MU....

umepatiaaaaa