Poteza A.T.M card yako

Poteza A.T.M card yako

Kuna mtu ana tabia kama yako, tatizo yeye akimwambia mtu amchukulie hela kwa namna unayochukuwa wewe utamsikia akisema...... CHUKUA ZOTE BAKISHA YA KUTUNZA AKAUNTI TU..... sasa kwa mtazamo huu, kupoteza ATM card hakuna maana

huyo mtu ni Genious wa kutumia hela, angekuwa rafiki yangu sijui ningekuwa wapi
 
Siyo lazima rafiki yako ndiye akuhamishie pesa kwenye simu yako, wewe mwenyewe waweza kujihamishia na kuendelea kula bata bila shida, hauhitaji hata kuwa na ATM card, lakini kwa taarifa yako kuwa na pesa kwenye simu ni mbaya zaidi kuliko kuwa na ATM cards. Hii ni kwa sababu sio bar zote ziko karibu na ATMs, lakini hebu angalia kila bar siku siku hizi kuna vibao.....Unaweza kulipa kwa tigo pesa hapa........sasa fikiria uko bar na marafiki zako 5 Jumamosi saa 10 jioni, una Tshs. 10,000,000,000/= kwenye account ya simu yako ya tigo, pale counter kuna kibao kinasoma ....Tigo Pesa Accepted Here..........

nilisoma somo langu baada ya kupoteza a.t.m card, kwa hiyo sitembei na hiyo line yenye pesa, natembea na cash tu, ikiisha, imeisha...unarudi kulala
 
nilisoma somo langu baada ya kupoteza a.t.m card, kwa hiyo sitembei na hiyo line yenye pesa, natembea na cash tu, ikiisha, imeisha...unarudi kulala

Uzoefu uanenyesha kuwa kama ni sebuleni kwako, pesa ikiisha unamwita Meneja au Mwnye Bar, anakuthamini unaendelea kupiga kinywani mpaka saa 8 usiku, halafu kesho yake unajialaumu, hivi ilikuwaje nkatumia pesa nyingi kiasi hiki, nilikuwa na nani....
 
some people here stick in my "drinking" instead of looking the positive side,..halafu wewe lara 1 tokea ulete ile habari ya mwana chemba nikakufuta kwenye listi yangu...i'm terrified by your money spending ability , you are like lara 1 Bolt in money spending race and i don't wana mess with you

Hahahaaaaaaaaaaa! That was then! This is now! Saivi nimezeeka! Ile ilikuwa BAD COMPANY!!!!!!!!
 
Hahahaaaaaaaaaaa! That was then! This is now! Saivi nimezeeka! Ile ilikuwa BAD COMPANY!!!!!!!!

hah hah...who would want to take their chance on that,? you have a HISTORY..halafu kuna mtu anasema eti "hata kama mke wako" ,..seriouly.! some people just can't read between the lines..is there like a "class" for"special need people" for reading between the lines.
 
THE DEVIL IS NOT SO BLACK AS HE IS PAINTED!!!!!!!!!!!!!!!!! That HISTORY is full of speculations! You not doing the sister right!!!!!!!!!!! Nialike hata tumalizie MPESA BALANCE kabla hujapoteza na Pass word ya Mpesa! LOL! Show your challange spirit and do Chelsea FC proud!
 
hah hah...i wish but i'm no where near where you are......may b december,i will make Chelsea Proud....
 
Back
Top Bottom