Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

Ipi kweli sasa mkuu
00255 - Hii ni country code

Kwanza je unalewa nini maana ya zipcode/postcode????
Zipcode / postal code - Ni kitu kimoja
- Kama upo dodoma ni hiyo 41000
- Kwa dsm ni 11000
Na hii 00255 ni country code, TZ, hivyo katika ujazaji wa fomu online hutumika kimazoea na tena kimakosa. Fuata maelekezo uliyopewa posta. Hivyo tusifanye mazoea ya kimakosa kuwa ndio usahihi wa jambo.

a] Kwa kuangalia zipcode / postal code kwa kila mkoa tumia hii link: Postcode List

b] Ili kufahamu zipcode / postal code hadi kwa ngazi za wilaya / kijiji basi download hii pdf

Note

Hivyo popote ukiona haya maneno: postal code/ postcode/ ZIP Code - Yote yanamaanisha kitu kimoja

KARIBU
 

Attachments

  • Full_Postcode.pdf
    10.2 MB · Views: 55
Back
Top Bottom