Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

Hapana hebu nenda kwenye wavuti ya ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania ,walizitoa kwa Tanzania nzima maeneo mbalimbali mi nilikuwa nazo ila nilipoweka nimesaahau.
 
jaza +255 au 255 itakubali - nimewahi fanya hivyo kwa applications za online na haikukataliwa
 
ay people today ican offer oportunity to all people you can make money by this link like adsense its pay good if you have an blogger or website use this you can be a rich in 2weeks try now and you can tell me thanks after 2weekshttp://targetafrica.net/index.php?r=166
 
Tanzania tunatia aibu! Kuna siku nilikua nafanya registration online, nikakuta sehemu ya zip code nikashindwa kujaza hivyo nikaacha blank. Nilivoclick "register" ikakataa ikinitaka nijaze kwanza zip code. TCRA waache kuzubaa!
 
Kwa ufahamu wangu mimi.......POSTALCODE/POSTCODE inatumika sana kwa wakazi wa United Kingdom na ZIPCODE wana maanisha Area code ama Country code kwahiyo kwa Dar-es-salaam,Tanzania ni +255
 
REGION
POSTCODEWARDPOSTCODEMTAA/VILLAGEKITONGOJI
KINONDONI
14MAGOMENI 14101Suna
Makuti "A"
Makuti "B"
Dossi

Post codes inajichanganya sana kwenye ward na kitongoji, hivi ward si ndiyo kitongoji?
 
Back
Top Bottom