Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

teh teh teh sasa hii ya UD nayo kali siku njema

Kwa UDSM hiyo ni P. O. Box. yaani S.L.P au sanduku la posta, kwa tz hiyo ndiyo zipcode. nimeshatumia hiyo na ikafaa bila matatizo, zipcode na p o box are two different things hata kama namba zinafanana, sawa!!
 
Haya sirmudy zip code ya tz ni hii hapa, 35091. Hii kirefu chake ni (Zone Improvement Program) inarihisha katika kutambua maeneo hususani kwa watu wa posta. hata kama mfumo hou hautumiki hapa tz lakini namba yetu ndio hiyo kaka

Hata magari ya UDSM yapo na namba hizi:

SU 35091
 
Naombeni msaada wadau, anaejua POSTAL/ZIP CODE YA TANZANIA naomba anitajie

Postal code kwa tz ni mfumo ambao umeanzia arusha as pilot project, ila kujua postcode yako itategemea upo mkoa gani na wilaya gani, na kata gani, kwa mfumo wetu huu wa postcode uliopendekezwa huwa una tarakimu tano mfano kama ungekuwa unaishi Arusha,

kwa hyo unatoa postcode ya eneo ambako barua yako yapaswa kufika mfano kama utataka barua yako ipitie posta, tuchukulie unaishi arusha mjini, na anuani yako ipo posta ya mjini, utaandik,

Mr ..............
1 BOMA ROAD
P.O. BOX 600
23100
TANZANIA

POSTCODE HAPO NI 23100( YENYE MAANA ZIFUATAZO, 2=KANDA YA KASKAZINI, 3=MKOA KATIKA KANDA YA KASKAZINI AMBAO NI ARUSHA, 1= WILAYA KUU KATIKA MKOA WA ARUSHA, AMABAYO NI ARUSHA MJINI, 00= NI POSTA KUU KATIKA WILAYA YA ARUSHA MJINI)

Hivyo kama ungekuwa arusha mjini, postcode yako ingekuwa 23100, sasa itategemea upo wapi.
 
The moment you select Country - Tanzania hiyo option ya zip code inapotea, inajulikana kwa wote wanahitaji online details wanaondoa hicho kipengele kwa kulingana na nchi ambazo hazina huo mfumo wa zip code ili kurahisisha zoezi.
Tanzania hakuna zip code.Zip code zinakuwa namba tano ambazo kila state ina namba yake inayoanzia..nahufahamu kwa marekani tu .

Wewe ukiona form haikubali ku submit blank sehemu ya zip code just weka post code ,for out side state.
 
Hizo ni country code...umesahau uganda +256
Al Zagawi,
 
Last edited by a moderator:
Naombeni msaada wadau, anaejua POSTAL/ZIP CODE YA TANZANIA naomba anitajie

Mkuu Country code ni tofauti na zip code Country code hufahamisha nchi katika ulimwengu wa digitali na zip code hutambulisha jiji/mji katika ulimwengu wa digitali Kwa mfano America kila mji una code yake hii inamaanisha unaweza kutambua mji kwa number,

au ktk kenya country code yake ni +254 na zip code ya nairobi ni 0100, kwa tanzania hatuna zip code ila mipango ipo njiani kuwa na address za makazi hii itafanya tuwe na zip code bali country code yetu ni
+255

Asante
 
wengne wamejaribu ila nmejua kuna watu hata hawajui maana area dial code ya +255 hahahahahahaaaaaaaa, hatuna huo mfumo bana
 
Haya sirmudy zip code ya tz ni hii hapa, 35091. Hii kirefu chake ni (Zone Improvement Program) inarihisha katika kutambua maeneo hususani kwa watu wa posta. hata kama mfumo hou hautumiki hapa tz lakini namba yetu ndio hiyo kaka
Mbona ni ya sex offenders mkuu
 
Bado nipo njia panda...Which is which now!!!!! Na unapokuta mahali hiyo Zipcode inahitajika utatumia ipi sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom