Posta mpya iko wapi na ya zamani iko wapi?

Posta mpya iko wapi na ya zamani iko wapi?

Mpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
Sio kila kitu kinapaswa kuletw JF. Unatakiwa uwe na ushirikiano na watu na kuwauliza vitu vidogo kama hivi sio lazima ulete JF
 
Nimezungumzia kivukoni front pale kwenye bustani sijazungumzia Azania front utakuwa mgeni wa jiji.
Nimesoma Forodhani kwa miaka mi4 nimemaliza 94 hapo bustanini ndio ilikuwa sehem yetu yakupumzikia tukisubiria daladala.
Okay mutoto wa mujini, sasa niambie hayo makaburi ya Kivukoni Front yalikuwa wapi na sehemu gani ili nikuweke kwenye bahasha.
 
Okay mutoto wa mujini, sasa niambie hayo makaburi ya Kivukoni Front yalikuwa wapi na sehemu gani ili nikuweke kwenye bahasha.
Tatizo hujui hata kivukoni front ni IPI? Tafuta MTU akuelekeze kwanza ujue!
Nimekuambia Leo hii ndio pana bustani pale posta jioni watu wanakaa mbele ya Toyota showroom.
 
Tatizo hujui hata kivukoni front ni IPI? Tafuta MTU akuelekeze kwanza ujue!
Nimekuambia Leo hii ndio pana bustani pale posta jioni watu wanakaa mbele ya Toyota showroom.
Unaingia bahasha taratibu.
Sasa niambie, ni sehemu ile Mbele ya Toyota Showroom?
Au siyo?
Sasa mutoto ya mujini hapo makaburi yaliondolewa lini?
 
Tunapoteza muda andika unalojua sio kujaza Uzi bila sababu.
Kama ulisoma Forodhani basi hukufaulu.
Nimekuuliza maswali simple unashindwa kujibu huku ukijigamba wewe mutoto wa mujini.
Sie tupo long time hapa Mzizima.
Rejea jibu langu la awali.
Naina wewe wa kuhadithiwa juu ya Jiji.
Makaburi ya Makumbusho yalihamishwa toka barabara ya Ocean (Ocean Rd).
Posta au Azania Front hapakuwahi kuwepo makaburi.
 
Kama hazijarudishwa vijijini basi zitakua palepale.
Posta ya zamani ~ Pembeni ya NBC (Baharini)

Posta Mpya ~ Mnaposhukia kwenye daladala (Mkabala na CRDB Bank, Benjamin Mkapa Towe, St. Albano, YWCS)

Posta ya zamani - Bado Masanduku ya kuchukulia barua yapo kweli kwenye lile jengo lao?
Posta Mpya - ilihamishwa kwenda Opposite na Benja Tower.
 
Nimezungumzia kivukoni front pale kwenye bustani sijazungumzia Azania front utakuwa mgeni wa jiji.
Nimesoma Forodhani kwa miaka mi4 nimemaliza 94 hapo bustanini ndio ilikuwa sehem yetu yakupumzikia tukisubiria daladala.
aisee,huo mwaka mimi nilikuwa std 2 hapo hapo forodhani.
 
Nimezungumzia kivukoni front pale kwenye bustani sijazungumzia Azania front utakuwa mgeni wa jiji.
Nimesoma Forodhani kwa miaka mi4 nimemaliza 94 hapo bustanini ndio ilikuwa sehem yetu yakupumzikia tukisubiria daladala.
nimekula sana kashata za wale jamaa walikuwa wanauza kahawa chini ya Ile mikungu.ila mihogo Ile ya njano mpaka namaliza std 7 sikuwahi kuila,kisa Ile rangi nilikuwa siilewi inatokea wapi,kumbe mawese.
 
Back
Top Bottom