pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,875
- 2,781
Mkuu wakati huo headmistress wetu anaitwa busyanya.nimekula sana kashata za wale jamaa walikuwa wanauza kahawa chini ya Ile mikungu.ila mihogo Ile ya njano mpaka namaliza std 7 sikuwahi kuila,kisa Ile rangi nilikuwa siilewi inatokea wapi,kumbe mawese.
Hapo kwenye mihogo nishqkula sana sasa HV kuna vibanda vya kukatia tiketi.
Forodhani tulikuwa tunaitwa watoto wa mama maana toka nimeanza mpk namaliza sijawahi kuona ugali, kwenye misosi ilikuwa balaa.