Posta mpya iko wapi na ya zamani iko wapi?

Posta mpya iko wapi na ya zamani iko wapi?

Mpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
Posta ya zamani ipo Kariakoo mkabala na kituo cha daladala za kuelekea MWENGE na Tegeta wakati Posta mpya ipo kitovuni mwa jiji mkabala na tawi la BENKI YA CRDB AZIKIWE
 
Sio kila kitu kinapaswa kuletw JF. Unatakiwa uwe na ushirikiano na watu na kuwauliza vitu vidogo kama hivi sio lazima ulete JF
Ungemjuaje? bora hivi umemjua hata ukichangia uzi wake unajua uchangie vipi [emoji1] [emoji1] [emoji1] .
 
Back
Top Bottom