rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
kuna siku niliwahi tembea tokea posta mpaka mwenge kwa mguu wadau..wewe je??
haha mkuu nipe experience yake huko roadPalm beach to mlimani chuoni.
hii yakwako kiboko mkuu, kwanini hukumalizia mpaka kimara tu mkuuposta to ubungo....
Jamani mam pole sana, sasa siku hiyo bam alikua wapi hakukupa hata lifti na ile baluni yake..Fire to Jangwani,
nilichokaje loooh.
kuna siku niliwahi tembea tokea posta mpaka mwenge kwa mguu wadau..wewe je??
posta mpya mpaka mhimbili....
wewe uko dar au? bestito jibu
Fire to Jangwani,
nilichokaje loooh.
Mnazi Mmoja to Buguruni..
kibamba to kariakoo...
and
kariakoo to kibamba...