Posta mpaka mwenge kwa miguu

Posta mpaka mwenge kwa miguu

Bam alikuwa kwenye nyumba yake ndogo hapo jangwani
ikabidi nimfuate huko huko ili tuondoke kwenda zetu home.

Jamani mam pole sana, sasa siku hiyo bam alikua wapi hakukupa hata lifti na ile baluni yake..
 
iko kama ya ii.jpg
na hii hapana,kwani miguu yako ikoje?
 
Haya ni matembezi ya Dar pekee au hata sisi wa mkoani???

Mi nlitembea old moshi Mowo hadi Kidia kwenda shule miaka minne...Kilimanjaro.

Field ya kazi nilifanya Arusha: nilikuwa natembea kutokea Njiro FFU hadi Arusha mjini, Meru posta.

Shinyanga tulitembea from Kishapu to Kahama...kwa wakwe.

Sumbawanga to Katavi kutafuta mganga...Rukwa hiyo.

Hapa Dar bado...ila nshawahi kupiga mbizi kutoka upande wa magogoni kuelekea kigamboni...kutokana na agizo la mh. Waziri
 
Niliwahi kutembea kutoka Gezaulole mpaka Ngobanya Kimbiji..

DSCF4262.JPG
 
Arusha mpaka dar..matembezi ya ku discourage elephant porching
 
Back
Top Bottom