kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 121
- 226
Hakika na wazungu hupenda kusema i second youHuna hela wewe.
Karibu na mbo ya ndani huku kama unatokea posta mpya.Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby.
na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking.
naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni.
kama kuna mtu anajua naomba anisaidie
mkuu nipo hapa sabodo Car packing. ukitokea kisutu kuelekea kivukoni, ni mtaa wa nne from kisutu kama unaenda JiJi. kuna msikiti mkuuubwa sana tu wenye rangi ya GoldKaribu na mbo ya ndani huku kama unatokea posta mpya.
Kuna hapo jamaa wanapiga passports n vistationaries India kwa ndani kuna restaurant hapo nafikiri majengo ya posta. Soka utaliona mubashara pametulia hakuna ngendembwe.
Japo hujasema upo posta ipi???
Mkuu long time Sanaa upo powaa brother.Hakika na wazungu hupenda kusema i second you
Tiffany hotel hapo makunganya na pia kwenye migahawaWakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby.
na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking.
naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni.
kama kuna mtu anajua naomba anisaidie
poa mkuu. unaweza ukanipa location yake nikiwa hapa msikitini?Nenda salamanda tower pale boss
Niko poa kaka ,nilikuwa kutunga sheria sasa nimerudi kwa kasi mpya na hali mpya .Mkuu long time Sanaa upo powaa brother.
Leo tunatoboa nipo hapa near machinga complex hapa ILALA unajua tayar timu ipo uwanjani 🤓Niko poa kaka ,nilikuwa kutunga sheria sasa nimerudi kwa kasi mpya na hali mpya .
Vipi tunatoboa leo ? Au tuweke zengwe tusiende uwanjani
nasikia Mpanzu ana kichomi, anaumwa mbavu za kuliaLeo tunatoboa nipo hapa near machinga complex hapa ILALA unajua tayar timu ipo uwanjani 🤓
Leo kombe tunabeba na tuna tamba nalo..
Angalia kwenye simu yako.Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby.
na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking.
naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni.
kama kuna mtu anajua naomba anisaidie
Na iwe hivyo kaka .Leo tunatoboa nipo hapa near machinga complex hapa ILALA unajua tayar timu ipo uwanjani 🤓
Leo kombe tunabeba na tuna tamba nalo..
Nangojea muda si mrefu nimwite min -me Tuanze kupiga / kunywa mvinyo kistaarabu.Na iwe hivyo kaka .
Wacha tuendelee kuomba .
Msalimie kaka min -me mwambie niko fit sasa ila mje mbeya niwaoneshe chimbo jipya la Homera
Sio kweli kaka timu Isha fika uwanjani mpanzu yupo gado yanga wajiandae kuuma nyasiiiinasikia Mpanzu ana kichomi, anaumwa mbavu za kulia
Mkuu angalia kwenye simu yako janja, au njoo hapa Kwetu pazuri bar mjini Moshi tuko live ni mwendo wa nyama choma na Serengeti lager.Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby.
na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking.
naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni.
kama kuna mtu anajua naomba anisaidie
Nitafurahi kukuona kaka ,nishakuwa mwenyeji sasa nitakupitisha viunga vyote vya kijiji cha mbeya na pia nitakuonesha na fursa kedekedeNangojea muda si mrefu nimwite min -me Tuanze kupiga / kunywa mvinyo kistaarabu.
Karibu sanaa brother pia ntatafuta time nije mbeya japo ndio itakua Mara ya kwanza kuja huko nyanda za juuuu
mimi siiamini Simba, wanaweza wakaingia first half, kipindi cha pili wasirudi uwanjani. nina mashaka sanaSio kweli kaka timu Isha fika uwanjani mpanzu yupo gado yanga wajiandae kuuma nyasiiii