Kama huna mahusiano ya kinasaba na Afisa yeyote utaendelea kusubiri sana. Mi nilikuwa na dogo wangu amepoteza muda in vain. wanawatesa tu waombaji wakati walishachagua watoto wao.
Wale wenye vyeti vya form four wataanza mafunzo rasmi mwezi huu tarehe 4 pale kiwira mbeya sijui kuhusu hawa wa degree kama ni tayari, kama ni rizki yako utaipata tu, mi na ndugu yangu ameipata bila ya kuwa na refa yeyote.
jamani vp ya uhamiaji haijatoka?? sisi wengine hatupati magazeti tupo bush...samahan naomba kujuzwa na mwenye taarifa juu ya majina ya uhamiaji kama yametoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.