Latete Snr
Member
- Feb 21, 2015
- 79
- 24
Jamani hatuelewi serikali ilikuwa ina malengo gani kutuweka nyumbani takribani miezi 7! Labda mnaweza kunisaidia mawazo😡😡😡
Mda mfupi uliopita tumetoka kuonge na idara za ndani na mmoja wa wafanya kazi katika baraza la mitihani NECTA tukujaribu kumhoji juu ya kuchelewa kwa posti za kidato cha tano kwa mwaka 2015 na akaweza kutueleza kuwa wanaendelea kukamilisha mchakato wa kupanga majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na kuwa mda wowote kuanzia sasa wanaweza kutoa majina hayo.

zinatka mwisho wa mwezi huu wa 5
Hv jaman ni kuanzia GPA gan ndio wanatakiwa kwenda A-level?
Me mwenyewe apa nawasiwasi