Post za kidato cha 5
Usiwaze Sana Mkuu! Kesho Nazitangaza Rasmi Lakn Kama Umekomaana PCB, PCM Wakati Masomo Ya Art Umefanya Vizur Usishangae Utakapoona Nimekupangia HGK, HGL Na Ninajua Umetumia Gharama Kubwa Sana!
Teh teh teheeee Kama vipi mpangie Ushonaji na Mapishi uyo maana anakupangia muda wa kutoa post bwana.....
Post za kidato cha 5
Nimesema Kesho Ndio Nitazitangaza Rasmi Hivyo Jiandaeni Kwenda Kucheq
Sasa Kimbembe Kwa Waliokomaana Tuition Ya PCB Wakati Mm Nimewapangia HGK Hahahaaa! Raha Kwelikweli!
Mimi ni art pure so kama ni hkl.hgl.hgk ndo saaaafi bhana
Nimesema Kesho Ndio Nitazitangaza Rasmi Hivyo Jiandaeni Kwenda Kucheq
Sasa Kimbembe Kwa Waliokomaana Tuition Ya PCB Wakati Mm Nimewapangia HGK Hahahaaa! Raha Kwelikweli!
leo ndio kesho ya jana ww jomakibu
Jamani Msiwaze Sana Kesho Ndio Siku Yenyewe Wakuu
mkuu naona umechoka kuzisubiri umeamua uanze jokes