victorjiwe
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 109
- 17
'tunapumulia mashine, na mrija mnaukanyaga!'
'tunapumulia mashine, na mrija mnaukanyaga!'
'eti sikivu, sikivu kwa wezi!'
'nyie mngekua kama sisi mngefanya hivyo?'
'hatuna uhakika na kesho vipi leo tunajiibia'
'ni aibu kwa kiongozi wa leo asieijua kesho'
JK, Tanzania ni maskini kutokana na matatizo kama haya ya Dowans.Je ukiambiwa uandae bango dhidi ya malipo ya DOWANS vipi BANGO lako likoje. LIDROP HAPA kama vipi. La kwangu kama hivi.
HALI NGUMU ROSTAM,LOWASSA NA MSABAHA JILIPENI WENYEWE WANANCHI HATUNA PESA.
'tunapumulia mashine, na mrija mnaukanyaga!'