Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

Ulikuwa unavaa Suti ya Kizungu, sasa hivi unavaa Kaunda Suti ya Mzee Malecela, kulikoni?
 
Mtu mlafi siku zote atabaki kuwa mlafi na kuugombania kwa kuutetea ulafi wake kwa kila namna! William- hivi kweli hakuna hotel nzuri za chini ya hapo na zenye usalama zaidi??

Hivi nchi nzima hii watumisi wa serikali wanaofanyaga kazi zao Dodoma ni wabunge tu na wao wanalalamika hivyohivyo?? Mbona wadau wakubwa wa hotel na guest ni wanafunzi( nfano hai Udom) na wanamudu bei ya huduma tena kwa bei mruua t,je hao wabonge wa bunge hawaoni kwingine??

Kama kweli wewe sio mnafiki n a umefanya utafiti kabal ya kukurupuka,tuambie wamiliki wa hiyo Dodoma hotel ni kina nani kama sio hao mafisadi wenzenu wenye mirija ya kufyonza kila kitu?!

ungetetea posho wa waalimu na madaktari plus boom kwa wanafunzi ungeeleweka lakini sio nyie wabunge wapuuzi haswa ccm-eti muongezwe pesa kwa kulala bungeni huku mnamwaga mashuzi,udenda na kusubiri kuzomea msipopigiana meza kwa kutetea uozo,shame upon you fisadis,mazafanta!!

- Yaani siku hizi sielewi kilichotokea JF, watu kwa nini wanajaribu kukulazimisha kuandika topic tofauti na uliyoandika badala ya wao kufungua topic wanayoitaka, I mean mimi nimeongela wabunge na wewe ongelea hao unaowataka, ninsema hivi posho ya wabunge kuishi inavyotakiwa Dodoma ni ndogo sana,

- Hii hoja inajadilika sana na tuijadili sasa kama taifa kwa sababu haiendi popote mpaka itimizwe, ama sivyo taifa tutaendelea kulipia zaidi kuliko tungewapa posho zaidi au kuwahakikishia sehemu maalumza kuishi wakiwa bungeni!

William.
 
- Unajua itatuchukua muda mrefu sana kwa mataifa masikini kujifunza kutoka kwa wachina, wao kila sheria zao zinajali mazingara yao zaidi kuliko siasa za kimtaifa, nimetoa hoja kutokana na niliyoyaona na ni kawaida yetu sisi waafrika kwa wananchi kuwafuata wabunge Dodoma kwenye kikao kuwaomba misaada! - Sasa yes, inapotaka kutatua tatizo la posho za wabunge lazima uliangalie hilo cause ni reality, Wabunge wetu pesa tunazo walipa atleast nusu zinaishia kwenye mikono ya wananchi wa majimbo yao, hiyo ni FACT, lakini mimi naongelea niliyoyaona Dodoma as a reality, sio hadithi za mtaani! William.
Kaka William hivi hii attitude ya kuwapa wapiga kura pesa ni priority in your thinking??? Ungepata ubunge ungetupa wote wenye shida tukikufuata hapo Arusha mathalani??? Kuna fedha za mfuko wa jimbo.......why not sustainable projects huko majimboni? Kumpa nyavu au samaki mwenye shida ya kitoweo nini bora kwako??? With all due respects.......umekuja hapa kitaani (Tanzania) recently......watu tumesomea chini.....tumepigwa mabomu ya machozi.....wake zetu wamejifungulia hospitali kwa utata na watoto wetu wanasoma kwa mbinde so we know better mkuu......if to speak of reality you would need more than five years to feel the pinch that is within the nerves na kwa kuwa you have a base for the rest of your life huwezi jua ugumu wa maisha watu wanaoongelea na ndo maana huwezi jua kwa nini suala la posho kuongezwa ni kilio cha wananchi wote
 
- Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?

William.

Usidhani hata siku moja kuwa hao jamaa watafika mahali waseme inatosha! Unapoongea suala la ugumu wa maisha jaribu kuwafikiria Watanzania wote kwa ujumla. Wakati mwingine jaribu kuingia vijiji vya ndani uone yanayojiri huko na namna watu wanavyoishi kwa taabu bila kupata huduma muhimu za msingi kama maji, afya na elimu.
 
Mie sina tatizo kabisa na wabunge kuongezewa posho,sababu kiukweli maisha yamepanda sana....kuusu kada zingine nazo kuongezewa posho huo ni mjadala mwingine...lakini lazima tukubali wabunge kuongezewa posho haikwepeki.
 
kwani what is so special kwa wabunge kulala hotel ya elfu 70..?? hawaendi chooni kama wengine?? wao kina nani wasilale sehem za kawaida eti?? wana miguu mitatu au vichwa vinne?? hivi mnajua watu wanaishije mtaani nyinyi?? au kwakua mnapita na magari ndo maana?? kula tu pesa za watanzania wa hali ya chini pasipo sababu
 
Willy
Siasa bado hujazijua wewe,inashangaza kuwa unajitahidi kutoa hoja ila zinakosa kichwa kama sio uungwaji mkono.Unatakiwa ujipime kwa hoja zako,humu jf kuna watanzania/member wachache sana ukilinganisha na idadi ya watanzania.Uwe unahesabu ama kujiweka kwenye mizani kupitia hoja zako zenye muonekano na mitazamo yako ya kisiasa kuwa zinakubalika au la!?. ukweli ni kwamba wewe hulijui hilo ndio maana hukujipima na ukaenda kugombea ubunge wa afrika mashariki wakakutosa vile vile.

Jitahidi sana kupunguza jazba na ushabiki watanzania wa leo ni waelewa sana sio humu Jf tu hata huko mitaani,hujakaa kwenye mitaa ukasikia vijana walioko vijiweni wanavyojenga hoja.Ungekuwa unaulewa wa kutosha ungezungumzia Polisi,Walimu,Wauguzi,Madaktari...nk. Kwa nini wewe umekuja kutoka USA moja kwa moja unataka uwe mbunge? kwa nini usilitumikie taifa kwa njia nyingine ukaenda kufanya kazi kule bandarini kwa sababu wewe ni baharia? Unachotaka kutuambia hapa ni kwamba hizo kada nyingine sio special na michango yao kwa jamii ni midogo ukilinganisha na wabunge!!!!

Funguka kaka unapotea sana kama sio kujiaibisha,naamini hata hiyo CCM kamwe haiwezi kukupa uongozi kwa taswira unayozidi kuionyesha kula kukicha kwa jamii.
 
- Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?
HIVI NI TOFAUTI KWA MAANA YA KUTUNGA SHERIA ,MBONA UBINAFSI ULIOKITHIRI NDO HUU ,MBONA HUMFIKIRII MWANCHI MWAJILIWA WA SERIKALI INAYOKUPA WEWE MIELA YOTE HIYO KWA SIKU INAYOZIDI MSHAHARA WA KIMA CHA CHINI CHA MWENZIO MWENYE FAMILIA NA ANAPASWA KUIBAJETI 150,000/= KWA CKU 30 ,WEWE UNAONA NDOGO KWA SIKU MOJA? FIKIRIA KAMA KWELI UNAFAA KUENDELEA KUTETEA HOJA YAKO
 
NAWANAOSIMAMIA NA KUTEKELEZA? KUTUNGA SIO TATIZO ,KAMA NI SHERIA NA SERA TUNA SERA NZURI Lkini maskini wakutupwa coz ya implimentation ziro tunawaza matumbo yetu badala ya miradi na huduma za kukwamua wananchi kwenye dimbwi la umaskini.ila tatizo gamba nalo linatesa
 
- Heshima mbele JF, hivi karibuni nilikuwa Dodoma hili la Wabunge na posho limenishitua sana ukizingatia kwamba nilikuwa mmoja wa wananchi waliopinga sana Wabunge kuongezewa posho, there I was in Dodoma, hotel ya hadhi ya wabunge ni Dodoma hotel, bei ya chini sana kwa chumba ni Sh. 65,000 kwa siku; ukienda mtaani ni sh. 50,000 kwa siku, I mean bado wabunge hawajala na ku-deal na wananchi kutoka majimbo yao ambao humiminika kila siku Wabunge wanapokuwa Dodoma, kuwalilia shida za binafsi.William John Samwel Malecela @DSM City!
Wewe kweli mtizamo wako ni finyu na wakimagamba. Sisi tunapigania ukombozi wa taifa kwa ujumla ww unaongelea wabunge na kuwabagua wasio wabunge. Kwako ww ni haki wafanyakazi wengine waendelee kupewa posho ndogo wakati wabunge wakineemeshwa.Je hizo gharama za maisha na hadhi ya malazi zinawaathiri tu wabunge? Je kipaumbele cha taifa ni kipi ni kubagua tabaka fulani na kuwaacha wengine? kwann usifikirie tuanze kuwajengea wanafunzi na wanachuo hosteli/mabweni? kujenga wodi na kukarabati vituo vya afya. Ukweli unajidhalilisha kwa kupost mawazo mgando na yasiokubalika kwa jamii ya wastaarabu na wapendao maendeleo. Fikiria kwanza utatuzi wa changamoto kuu na maadui wakuu wa jamii na taifa kwa ujumla na siyo ya tabaka la watawala
 
- Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?

William.

William nadhani uelewa wako ni kidogo! Unasema wabunge ni tofauti? Hapana wabunge sio tofauti, wabunge ni sawa na watu wengine. Au nikufafanulie kwa kutimia mifano ileile: tofauti kati ya mbunge na mhandisi ni sawa na tofauti kati ya mwalimu na shehe, sawa na tofauti kati ya mwanafunzi na mkulima, sawa na tofauti kati ya mfugaji na mkulima, sawa na tofauti kati ya mwizi na kahaba, sawa na tofauti kati ya mfungwa na kadhalika. Kila mmoja ni tofauti na mwezake lakini hizo tofauti zao hazitofautiani na tofauti zingine.

Najibu swali lako sasa: "
Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?" Mbunge kula rushwa akapitisha sheria mbovu ni sawa na mhandisi kula rushwa akajenga barabara mbovu, nakadhalika kwa kila mmoja wa hao waliotajwa. Kwa kifupi shida na raha za waTanzania lazima ziendane. Mbunge hatakiwi kuwa mbinguni wakati hao mhandisi, shehe, padri, mfugaji, kahaba, mwizi, mfungwa au nakadhalika akiwa jehanam. Nadani kwa kutoelewa suala hili la msingi ndio maana ulikosa ubunge. Yawezekana waliokuwa wanachagua walikuangalia usoni na kukusikiliza wakaona hujui mbunge ni kitu gani!
 
Kaka william unapoleta suala la kuajdili kuongezewa posho kwa wabunge wetu kwa kigezo cha kwamba ni watunga sheria hivyo wanastaili kukaa sehemu za gharama kubwa ili wasishawishiwe kupokea rushwa na hivyo kupitisha sheria mbovu napingana na wewe kabisa kaka. Kwanza kabisa napenda kupongeza TV zote zinazorusha vipindi vya bunge hivyo basi kuturahisishia sisi wananchi kuona vinavyojiri huko bungeni. Katka kipindi cha bunge kilichopita tulishuhudia bunge letu likipitisha miswada ya sheria 3 kuwa sheria, katika majadiliano ya kupitisha miswada hiyo nadhani watz wengi tulishuhudia jinsi wabunge wa vyama vya upinzani ndio kwa kiasi kikubwa walikuwa wanachangia na hata kutaka baadhi ya vifungu vibovu vya sheria hizo zibadilishwe na mara chache tulishuhudia AG akikubaliana na hoja hizo ila mara nyingi tulishuhudia AG akikikataa ushauri mzuri tu kutoka kwa wabunge wa vyama vya upinzani na kutumia nafasi ya kiti na wingi wa wabunge wa ccm kumsaidia kupitisha miswada hiyo pamoja na kasoro nyingi.
Kwa kusema ukweli wabunge wetu wengi hawapo serious na kazi tumeshuhudia mara kadhaa bunge likiwa linaendesha viti wazi, wengine wanasinzia bungeni. Kwa kuangalia utendaji wao wa kazi naona wengi wao hawastahili kuongezewa posho kabisa isipokuwa baadhi ya wabunge vijana tena wengi kutoka upinzani ambao wanachangia vizuri sana miswada inayoletwa na serikali bungeni. Na ninachowapendea hao vijana ni kwamba pamoja na kwamba hawana pesa nyingi wanapinga kuongezewa posho tofauti kabisa na mwakilisha wa jimbo la rorya mwenye ukwasi wa kupindukia lakini naye eti anadai posho iongezwe na wakati tokea achaguliwe kuwa mbunge sijawahi kumsikia amechangia chochote bungeni dodoma na sijui anakujaga dodoma kufanya nini heri angekuwa anakaaga jimboni kwake tu anakuja kuchukua hiyo posho anayosema ni kidogo wakati haitendei haki.
Pia siungi waheshimiwa wabunge kuongezewa posho kwa vigezo vyovyote vile. Mimi naishi hapa dodoma naona maisha wanaoishi wengi wa hawa hapa dodoma ni ya anasa sana. Kwa bahati nzuri mimi ni mtu wa kujichanganya sana mtaani hapa dodoma, nakutana nao sana hawa wah mf siku za jumamosi nakutana nao sana mnadani meilimbili dodoma wakiwa na makundi ya watu tena wengi wakiwa watoto wa kike wanawapa goodtime. upuuzi mtupu!
Nakutana nao masterbup, royal village, african dream, maisha most of them are really lifests. Kuna siku nilikutana na mhe mbunge rafiki yangu kaja kwenye taarabu ilikuwa Mzee Yusuph alikuwa anapiga royal vilage huyu jamaa alikuja na madem 5 wote wake na alikuwa anawahudumia na walikuwa wanatumia savanah. Kwa kifupi hawa waheshimiwa huku dodoma maisha yao tunayajua sie wenyeji sio wewe uliyuja siku chache tu za kuomba kupigiwa kura kuwa muwakilishi wetu EALA. Sio siri na inajulikana kwa kasumba ya waheshimiwa wengi kuishi maisha ya anasa sana na sio siri kipindi cha bunge huku dodoma tunashuhudia wingi wa makhaba kutoka mikoa mingine ya jirani wanakuja kuwavizia wabunge kutokana wanafahamu wabunge wanajua kuhonga. Kwa jinsi ninavyoona lifestyle ya waheshimiwa wetu hapa dodoma pesa wanayopewa inawatosha kabisa hakuna haja ya kuiongeza. wakiongezewa ladhima matanuzi yataongezeka na kuendelea kutuletea kero sisi wananchi wa dodoma kwa kupandishiwa bei vitu mbalimbali. Pia nani kasema pesa inatoshaga, jinsi inavyoongezeka matumizi nayo ndivyo jinsi yanaongezeka.
Kama wakitaka waongezewa poshokwa mtazamo wangu utendaji wao wa ufanisi uonekane kwa kuchangia kwa ufasaha na bila uoga miswada mbalimbali ya serikali inayoletwa bungeni na sio kukaa kupiga meza na kuitikia ndiooooo! ambazo hazima msingi, pili wapunguze matanuzi yao wanapokuwa hapa dodoma
 
- Heshima mbele JF, hivi karibuni nilikuwa Dodoma hili la Wabunge na posho limenishitua sana ukizingatia kwamba nilikuwa mmoja wa wananchi waliopinga sana Wabunge kuongezewa posho, there I was in Dodoma, hotel ya hadhi ya wabunge ni Dodoma hotel, bei ya chini sana kwa chumba ni Sh. 65,000 kwa siku; ukienda mtaani ni sh. 50,000 kwa siku, I mean bado wabunge hawajala na ku-deal na wananchi kutoka majimbo yao ambao humiminika kila siku Wabunge wanapokuwa Dodoma, kuwalilia shida za binafsi.

- Serikali itafute suluhisho la hili tatizo kwa sababu ni tatizo, tunaawaacha wabunge in an open field ya kupokea rushwa, nimeona Wabunge wengine wakiishi sehemu ambazo ni very dangerous kwa kiongozi wa taifa tunayemtegemea kuishi, halafu unakuta magazeti yakifurahia mbunge apigwa mapanga, mbunge aibiwa, I mean as taifa we have to do something, nchi nyingi Duniani, infact hata Zambia tu Serikali imewajengea Special Hostel wabunge wake kwenye maeneo ya viwanja vya bunge kupunguza hili tatizo la posho, I mean kwa hali niliyoiona hili tatizo halikwepeki ni lazima lizungumzike.

- Nilichojifunza kule Dodoma ni kwamba wengi wa Wabunge waliokuwa wanapinga posho ni wale wenye uwezo mkubwa sana kipesa kwamba hata hawahitaji hiyo posho ya sh. 70,000 kwa siku maana kwao ni peanuts na ni wachache sana, ninasema hii hoja ijadiliwe tena, tunawaweka wabunge wengi pagumu sana kimaishana hata kutuongoza.

William John Samwel Malecela @DSM City!

nilikuwa kikazi Dodoma kwa maswala ya nanenane,ukiwa na 10.000-37000 unapata gest nzuri yenye ulinzi wa kutosha

si lazima walale ktk gest za kitalii,nchi za wenzetu gest hizo huachiwa watu kutoka nje ya nchi walale na hata ukiwa umetoka tanzania ukaenda Taiwan kamwe hawatakuruhusu ukalale ktk gest ya bei ya chini ni lazima wakupe gest ama hotel ya bei ya juu hiyo ni sheria ila wenye nchi hawana shida wanalala hotel za bei ya chini na hata kama utataka kulala hotel ya bei ya juu ni chaguo lako,lakini sheria yao imejikita kwa hao kutoka nje ya nchi

hivyo basi wabunge wetu hawana haja ya kulala ktk mahotel hayo na hata kama wasipo lala hakuna kitakacho pungua,ubunge utabaki palepale na afya pia

william unanichekesha sana

nchi za wenzetu wanakazana kupunguza matumizi wewe unakuja na jibu la kuongeza matumizi

umejionea ufaranza juzi,rais wao kapunguza mshahara wake na mawaziri wake,yote hiyo ni kutaka kuwa na pesa za kuisaidia nchi yao na kipa mikopo tanzania,lakini nchi inayopewa mikopo haitaki kubana matumizi

nadhani hakuna haja ya kugombea ubunge kama mtu anaona pesa haitoshi,je walimu wa shule za msingi nao wasemaje,maana ndio waliozalisha wote hao
 
Willy
Siasa bado hujazijua wewe,inashangaza kuwa unajitahidi kutoa hoja ila zinakosa kichwa kama sio uungwaji mkono.Unatakiwa ujipime kwa hoja zako,humu jf kuna watanzania/member wachache sana ukilinganisha na idadi ya watanzania.Uwe unahesabu ama kujiweka kwenye mizani kupitia hoja zako zenye muonekano na mitazamo yako ya kisiasa kuwa zinakubalika au la!?. ukweli ni kwamba wewe hulijui hilo ndio maana hukujipima na ukaenda kugombea ubunge wa afrika mashariki wakakutosa vile vile.

Jitahidi sana kupunguza jazba na ushabiki watanzania wa leo ni waelewa sana sio humu Jf tu hata huko mitaani,hujakaa kwenye mitaa ukasikia vijana walioko vijiweni wanavyojenga hoja.Ungekuwa unaulewa wa kutosha ungezungumzia Polisi,Walimu,Wauguzi,Madaktari...nk. Kwa nini wewe umekuja kutoka USA moja kwa moja unataka uwe mbunge? kwa nini usilitumikie taifa kwa njia nyingine ukaenda kufanya kazi kule bandarini kwa sababu wewe ni baharia? Unachotaka kutuambia hapa ni kwamba hizo kada nyingine sio special na michango yao kwa jamii ni midogo ukilinganisha na wabunge!!!!

Funguka kaka unapotea sana kama sio kujiaibisha,naamini hata hiyo CCM kamwe haiwezi kukupa uongozi kwa taswira unayozidi kuionyesha kula kukicha kwa jamii.

- Mimi nimeongelea Wabunge niliowaona tayari na wewe ongelea hao uliowaona, hii hoja ya posho za wabunge inajadilika bro, kama sio leo itakwua kesho tena ikiwa very ugly, badala ya kuwapa 200, 000 tutaishia kuwapa zaidi ha hizo!

- Mengina huwa ninaita kelele za mlango!

William.
 
"I mean bado wabunge hawajala na ku-deal na wananchi kutoka majimbo yao ambao humiminika kila siku Wabunge wanapokuwa Dodoma, kuwalilia shida za binafsi". W.J, malecela
W.J. Malecela, with due respect, are you proposing that MPs should be paid allowances for such uncalled for expenses. Yaani serikali iwapatie fedha MPs ili wawapatie wapiga kura wao fedha za kula, kutibiwa, kusomesha watoto wao? Ridiculous!!! William, sitakuwa nimekosea nikiisema kwamba unatafuta kura za huruma in future elections. Nashukuru kwamba hukuchaguliwa kwani kwa staili hii ungalipigania maslahi yako binafsi.
Hivi kwa njia hii unatarajia Wtz waendelee? Kwa nini usiishauri serikali iboreshe uchumi wa nchi ili Wtz waweze kujitegemea? Kumbuka utoaji wa huduma bora is a mandatory function of the Govt. Not individual MPs. MPs hulipwa per diem 80,000/=, sitting allowance 70,000/ na usafiri 50,000/= jumla 210,000/ na siyo 70,000/= unayoenesha hapa.
Hapana hapana.
 
nilikuwa kikazi Dodoma kwa maswala ya nanenane,ukiwa na 10.000-37000 unapata gest nzuri yenye ulinzi wa kutosha

si lazima walale ktk gest za kitalii,nchi za wenzetu gest hizo huachiwa watu kutoka nje ya nchi walale na hata ukiwa umetoka tanzania ukaenda Taiwan kamwe hawatakuruhusu ukalale ktk gest ya bei ya chini ni lazima wakupe gest ama hotel ya bei ya juu hiyo ni sheria ila wenye nchi hawana shida wanalala hotel za bei ya chini na hata kama utataka kulala hotel ya bei ya juu ni chaguo lako,lakini sheria yao imejikita kwa hao kutoka nje ya nchi

hivyo basi wabunge wetu hawana haja ya kulala ktk mahotel hayo na hata kama wasipo lala hakuna kitakacho pungua,ubunge utabaki palepale na afya pia

william unanichekesha sana

nchi za wenzetu wanakazana kupunguza matumizi wewe unakuja na jibu la kuongeza matumizi

umejionea ufaranza juzi,rais wao kapunguza mshahara wake na mawaziri wake,yote hiyo ni kutaka kuwa na pesa za kuisaidia nchi yao na kipa mikopo tanzania,lakini nchi inayopewa mikopo haitaki kubana matumizi

nadhani hakuna haja ya kugombea ubunge kama mtu anaona pesa haitoshi,je walimu wa shule za msingi nao wasemaje,maana ndio waliozalisha wote hao

- Yaaani haina haja ya kuwa mwalimu kama unaona mshahara hautoshi, yaani hizi hoja zingine bana!

William.
 
"I mean bado wabunge hawajala na ku-deal na wananchi kutoka majimbo yao ambao humiminika kila siku Wabunge wanapokuwa Dodoma, kuwalilia shida za binafsi". W.J, malecela
W.J. Malecela, with due respect, are you proposing that MPs should be paid allowances for such uncalled for expenses. Yaani serikali iwapatie fedha MPs ili wawapatie wapiga kura wao fedha za kula, kutibiwa, kusomesha watoto wao? Ridiculous!!! William, sitakuwa nimekosea nikiisema kwamba unatafuta kura za huruma in future elections. Nashukuru kwamba hukuchaguliwa kwani kwa staili hii ungalipigania maslahi yako binafsi.
Hivi kwa njia hii unatarajia Wtz waendelee? Kwa nini usiishauri serikali iboreshe uchumi wa nchi ili Wtz waweze kujitegemea? Kumbuka utoaji wa huduma bora is a mandatory function of the Govt. Not individual MPs. MPs hulipwa per diem 80,000/=, sitting allowance 70,000/ na usafiri 50,000/= jumla 210,000/ na siyo 70,000/= unayoenesha hapa.
Hapana hapana.

- People, by the way ukiona sikujibu hoja ujue haina mashiko, so naipotezea! ha! ha! ha! ha!

William.
 
nilikuwa kikazi Dodoma kwa maswala ya nanenane,ukiwa na 10.000-37000 unapata gest nzuri yenye ulinzi wa kutosha

si lazima walale ktk gest za kitalii,nchi za wenzetu gest hizo huachiwa watu kutoka nje ya nchi walale na hata ukiwa umetoka tanzania ukaenda Taiwan kamwe hawatakuruhusu ukalale ktk gest ya bei ya chini ni lazima wakupe gest ama hotel ya bei ya juu hiyo ni sheria ila wenye nchi hawana shida wanalala hotel za bei ya chini na hata kama utataka kulala hotel ya bei ya juu ni chaguo lako,lakini sheria yao imejikita kwa hao kutoka nje ya nchi

hivyo basi wabunge wetu hawana haja ya kulala ktk mahotel hayo na hata kama wasipo lala hakuna kitakacho pungua,ubunge utabaki palepale na afya pia

william unanichekesha sana

nchi za wenzetu wanakazana kupunguza matumizi wewe unakuja na jibu la kuongeza matumizi

umejionea ufaranza juzi,rais wao kapunguza mshahara wake na mawaziri wake,yote hiyo ni kutaka kuwa na pesa za kuisaidia nchi yao na kipa mikopo tanzania,lakini nchi inayopewa mikopo haitaki kubana matumizi

nadhani hakuna haja ya kugombea ubunge kama mtu anaona pesa haitoshi,je walimu wa shule za msingi nao wasemaje,maana ndio waliozalisha wote hao

- Mkuu kweli unaweza kulinganisha waziri wa France na mbunge wa bongo, I mean vipi ndugu yangu?

William.
 
Back
Top Bottom