Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
Wanasiasa siku zote huwa wanawafanya wananchi kuwa ni wajinga na hawana uwezo wa kufikiri. Haijalishi mwanasiasa anatokea chama gani au jimbo gani wote hutegemea umbumbumbu wetu kuwa ni mtaji wao.Si tumewasikia wakipinga posho za vikao vya bunge?wengine wamefika mbali hata kuandika barua kusema hawataki posho na wameelekeza kuwa posho zisiingie mfuko wa "shati" bali ziingizwe moja kwa moja kwenye mfuko wa "koti" kimantiki wanasema hawataki posho dhumuni likiwa kubana matumizi ya serikali sasa unapoikataa na kuelekeza ile ile posho upewe lakini kwa kutumia utaratibu mwingine ni usanii na kiini macho!
Nashangaa watu wameshindwa kuelewa hili na kulisifia! Sijui ni upovu au ni umbumbumbu wetu ndio unaotufanya tuwe hatuoni! au sijui ni "ukipenda chongo"?Tumeshuhudia posho zao wanazopeana tena huku wakikataa zisikatwe kodi ambayo itasaidia kuongeza makusanyo ya serikali. Kwa akili ya kawaida na mwenye uwezo wa kufikiri hawa wanaopiga kelel kuhusu posho tuwaulize wao wakiwa nje ya makao makuu kwa ajili ya shughuli za chama kama zile zilizozoeleka za "maandamano ya nguvu za umma" wanalipana posho kiasi gani? nusu ya hizo wanazogomea au zimezidi? au hawalipani kitu kwa kukwa wapo kwenye kazi walizopewa na chama? Kama wanalipana basi wanatafuna pia mapato yanayotokana na mlipa kodi kwani wanatumia ruzuku wanayopewa ambayo inatokana na kodi zetu!
My take:Kwa kuonyesha nia njema haitakuwa vibaya vyamka vya siasa vikaomba kupunguziwa ruzuku ili pesa nyingine zitakazobaki zikaelekezwa kwenye kufidia bajeti kuu. Najua hili litakuwa gumu sana lakini madhalan chama kina pokea 100 kikipokea 50 n a hamsini ikaelekezwa kwenye maendeleo si jambo baya na hii iapply kwa vyama vyote pamoja na chama tawala.<br><br><br>Naomba kuwakilisha.
Ni wazi sasa Bunge limekuwa kimbilio la kila anaetaka Utajiri wa Haraka. tatizio hapa sio kutumikia wananchi au Kuonekna kama mkuu ktk Jamii bali ni kimbilio la Kutafuta posho kubwa sana huku kazi inayofanywa ni ndogo sana na haindenai na Kipato cha kazi ya yenyewe.
Ikiwa Leo Prof anaesomesha Chuo kikuu hupata Robo tu ya Posho ya Mbunge aliefika F4 au F6 ni wazi taifa linapoenda sipo.
Wabunge wawe wazalendo. waangalie maslahi ya taifa. waangalie umaskini wa Watz.
Kwa hapa naungana na Chadema na wale wote wanaotaka wabunge waondoshewe POSHO.
nchi maskini, wabunge matajiri.
hospital hakuna dawa. Wabunge wanakoga pesa.
Shule hakuna madawati. wabunge wanachota mapesa.
Walimu wanakimbia kusomesha. wabunge wanauana wanataka nafasi ya kwenda kuchota pesa bungeni.
Polisi hawana vitendea kazi. Wabunge wanaenda kuvuta mshiko mkubwa bungeni
maskini unaengezeka. wabunge wanatanua Mijengoni
Siku nyingine unapoint kweli wewe! nimekuongezea lihasante bana!Ni wazi sasa Bunge limekuwa kimbilio la kila anaetaka Utajiri wa Haraka. tatizio hapa sio kutumikia wananchi au Kuonekna kama mkuu ktk Jamii bali ni kimbilio la Kutafuta posho kubwa sana huku kazi inayofanywa ni ndogo sana na haindenai na Kipato cha kazi ya yenyewe.
Ikiwa Leo Prof anaesomesha Chuo kikuu hupata Robo tu ya Posho ya Mbunge aliefika F4 au F6 ni wazi taifa linapoenda sipo.
Wabunge wawe wazalendo. waangalie maslahi ya taifa. waangalie umaskini wa Watz.
Kwa hapa naungana na Chadema na wale wote wanaotaka wabunge waondoshewe POSHO.
nchi maskini, wabunge matajiri.
hospital hakuna dawa. Wabunge wanakoga pesa.
Shule hakuna madawati. wabunge wanachota mapesa.
Walimu wanakimbia kusomesha. wabunge wanauana wanataka nafasi ya kwenda kuchota pesa bungeni.
Polisi hawana vitendea kazi. Wabunge wanaenda kuvuta mshiko mkubwa bungeni
maskini unaengezeka. wabunge wanatanua Mijengoni
taifa mbele
Ni wazi sasa Bunge limekuwa kimbilio la kila anaetaka Utajiri wa Haraka. tatizio hapa sio kutumikia wananchi au Kuonekna kama mkuu ktk Jamii bali ni kimbilio la Kutafuta posho kubwa sana huku kazi inayofanywa ni ndogo sana na haindenai na Kipato cha kazi ya yenyewe.
Ikiwa Leo Prof anaesomesha Chuo kikuu hupata Robo tu ya Posho ya Mbunge aliefika F4 au F6 ni wazi taifa linapoenda sipo.
Wabunge wawe wazalendo. waangalie maslahi ya taifa. waangalie umaskini wa Watz.
Kwa hapa naungana na Chadema na wale wote wanaotaka wabunge waondoshewe POSHO.
nchi maskini, wabunge matajiri.
hospital hakuna dawa. Wabunge wanakoga pesa.
Shule hakuna madawati. wabunge wanachota mapesa.
Walimu wanakimbia kusomesha. wabunge wanauana wanataka nafasi ya kwenda kuchota pesa bungeni.
Polisi hawana vitendea kazi. Wabunge wanaenda kuvuta mshiko mkubwa bungeni
maskini unaengezeka. wabunge wanatanua Mijengoni
Nini mwanafunzi....na mvuja jasho anayelipwa kcc cha mshahara 135000?Kama angekuwa panya tungesema kabanwa kwenye kona. Ni aibu kumsikia mtanzania anadai eti 150,000 per day, anaitetea then anasema haitoshi!! Sasa wanafunzi wanaopewa 5000 kwa siku waseme nini?
Pasua kichwa kwa UnafikiLazima tuwe wazalendo